Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Sasa niambie wapi pameandikwa kuwa hayo yote uliyosema ni dhambi au uvunjaji wa sheria!Chaumaccm au chaumaubwabwa imesokomezewa magalasa na mbowe yaani chama kinaenda kuwa chama cha majungu haijapata kutokea kwani G55 ni kikosi cha usengenyaji ni wapenda majungu sana, Mzee Rungwe jiandae kufa kwa pressure
Hayo uliyoleta si ndio umbea, majungu na futna kwa watu ambao hawamo katika chama chako?Huku mrema mwizi huku Salum mwalimu mzinzi na mnafiki huku kigaila mmbea na majungu chama kitakalika?
Hakuna taasisi iliyokosa hayo mambo mawili, kwa watu waliosoma mambo ya uongozi wanayajua. Na ndio maana kwenye taasisi huwekwa codes of conduct lakini bado hayo hayaondoki. Hata kwenye taasisi za dini kuna departments za uzinzi.Huo ni mseto wa majungu uzinzi wizi unafiki na mambo yote ya hovyo
Mbona kimeshaandikwa sana humu Jamii!!Si mseme tu wanachowaambia? Bila shaka wana mpaka ushahidi.
Ila kumbukeni fitna na kumshuhudia jirani yako uongo ni dhambi kubwa sana.
Amandla...
CDM mmeumia sanaSIyo wadau bali mdau. CCM ndiye mdau mkuu wa CHAUMMA, ambaye kwa kweli hastahili kuitwa mdai, anatakiwa kuitwa mmiliki mkuu wa CHAUMMA.
Duuu...kweli hawakuwa wapinzani wa kweli!Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Kumbe ni yale? Mnaendeleza yale yale ya kabla ya campaign bila ushahidi wowote.Mbona kimeshaandikwa sana humu Jamii!!
Watu tuliandika humu miezi miwili iliyopita kwamba kuna mazungumzo kati ya Spunda na CCM kwa ajili ya mapokezi ya G55.
Hata sura tuu zinaonesha anadanganya sura inamuumbua kabisaNaibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Mpinzani anapingana upinzan ajabu ya tanzaniaNaibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio waliowasaidia wakiwa CHAUMMA.
View attachment 3341824
Pia soma Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga madai ya kuifadhili CHAUMMA
Vp boss mbowe nae yupo mbioni kuhamia chauma naww utamfuata boss kubwa.Kigaila muogope Mungu wako. Ujue huko kuna watu ndugu zetu, wanasema kinachoendelea
😀😀 Pesa mwanaharamu Mzee Hashim mjanja sana anazeeka na ubilionea wa burebureWadau wenyewe ni abdu na sisiemu kwa ushauri wa kifua kipana!
Nitakujibu ingawa watu nisio wajua huwa siwajibu!Vp boss mbowe nae yupo mbioni kuhamia chauma naww utamfuata boss kubwa.
HakikaMaigizo ya kisiasa
Miezi miwili iliyopita ni kabla ya kampeni!!??Kumbe ni yale? Mnaendeleza yale yale ya kabla ya campaign bila ushahidi wowote.
Amandla...
Hakuna mtu mwenye machungu ya kushindwa. Nisichoweza kuwasamehe ni namna mlivyoendesha kampeni yenu. Na kwa maoni yangu ilikuwa ni pyrrhic victory. Na ndio mmeanza kugundua hilo.Miezi miwili iliyopita ni kabla ya kampeni!!??
Miezi minne baada ya uchaguzi wewe bado una machungu ya kushindwa tuu!!??
Pole sana.
Let it go & live son.
Duuh hadi wewe? mbona unakuwaga mwelewa umekuwaje hivi sasa? Ooh poor TanzaniaSera ya Chadema ni kufuatilia vyama vingine. CCM tuliwaelewa ni chama dola mnahaki ya kukipigia kelele.
Zito alipohama mlimfuata ACT.
Lipumba mkasema amewasaliti Zanzibar mkamtukana matusi.
CHAUMA nacho mpo nyuma yake.