Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyu Kigaila ni mwenda wazimu asiyejua lolote mshenzi huyo, anabwabwaja ovyo na kuchagua maswali anayoulizwa.Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati kuu ya chama na nikajuwa kwamba hii kesi ya Mbowe ya ugaidi haina mashiko.
Ila hii ya Tundu Lissu sijuwi alivyokamatwa, labada naweza kusema naweza kuamua kupitia mitandao ya kijamii, sikuwepo Songea wala sijakaa kikao chochote cha kamati kuu na bahati mbaya awajakaa, sijajuwa ushauri wa wanasheria kwenye kamati kuu. Alisema Benson Kigaila wakati wa mahojiano na Odemba
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kifupi hapa Kigaila na wezanke wanaonyesha kwamba kuna chuki kwa Lissu na uongozi wake mpya ndani ya CHADEMA maana ukimsikila Kigaila unaona kabisa ndani ya mioyo yao kuna jambo lipo!
Wanasiasa wengi wana entitlement mentality; entitlement ya kuwa viongozi, sio wafuasi. Wakikosa hiyo wengi wao wanahama chama fasta. Very selfish!Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati kuu ya chama na nikajuwa kwamba hii kesi ya Mbowe ya ugaidi haina mashiko.
Ila hii ya Tundu Lissu sijuwi alivyokamatwa, labada naweza kusema naweza kuamua kupitia mitandao ya kijamii, sikuwepo Songea wala sijakaa kikao chochote cha kamati kuu na bahati mbaya awajakaa, sijajuwa ushauri wa wanasheria kwenye kamati kuu. Alisema Benson Kigaila wakati wa mahojiano na Odemba
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kifupi hapa Kigaila na wezanke wanaonyesha kwamba kuna chuki kwa Lissu na uongozi wake mpya ndani ya CHADEMA maana ukimsikila Kigaila unaona kabisa ndani ya mioyo yao kuna jambo lipo!
Hivi Kilaza kama huyu alipataje wadhifa Chadema? Cripes!!Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati kuu ya chama na nikajuwa kwamba hii kesi ya Mbowe ya ugaidi haina mashiko.
Ila hii ya Tundu Lissu sijuwi alivyokamatwa, labada naweza kusema naweza kuamua kupitia mitandao ya kijamii, sikuwepo Songea wala sijakaa kikao chochote cha kamati kuu na bahati mbaya awajakaa, sijajuwa ushauri wa wanasheria kwenye kamati kuu. Alisema Benson Kigaila wakati wa mahojiano na Odemba
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kifupi hapa Kigaila na wezanke wanaonyesha kwamba kuna chuki kwa Lissu na uongozi wake mpya ndani ya CHADEMA maana ukimsikila Kigaila unaona kabisa ndani ya mioyo yao kuna jambo lipo!
Wametuchelewesha sanaHivi Kilaza kama huyu alipataje wadhifa Chadema? Cripes!!
Alafu na shati alilovaa ni lile lile 🤣🤣View attachment 3332186