huyo rafiki yako hana lolote penzi ni kutoka moyoni
rwanda usipime kabisa , zipo totoz zakufa mtu
kwani huyo mshikaji wako sio mwislam??? Akamate wote wawili...Uislam unaruhusu kaka....
Jamani wana Mjengo wa Jf
Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko njia panda tumsaidie kwa kutoa sifa na tabia mbalimbali za mademu wa nchi hizi kwa wale wanaowafahamu vizuri pengine itampa mwanga kidogo.This is not a joke, mie nimewaona wote na nimechanganyikiwa na bado natafakari jinsi ya kumsaidia, ila picha zao siwezi kuzibandika humu.