Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaendelea….Haya sasa mmetoka kufananisha Nairobi na dar, mkaja na jiji la mwanza na wilaya ya arusha....then mmekuja na kigali dhidi ya jiji la Dar
Unaruhusiwa kufungua mwingine na kuringanisha na kahamaUzi wa hovyo sana.....ungelinganisha na Kaham au Babati sio Dar,Arusha,Mwanza,Mbeya au Dodoma
ha ha ha 😂😂😂kweli naona Kigali ni kitu cha kijingaAcha kufananisha Dar na vitu vya kijinga.
Offcoz put some😂Without photos, the thread is totally TRASH
kigali unatakiwa uilinganishe na Arusha au Mwanza. kuwa na heshima na DSM pls.Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa.
Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar.
MAENEO YA KULINGANISHA
BIG PROJECTS
BARABARA
ENTERTAINING CENTERS like stadium
AIRPORTS
STAND/BUS/TRAIN STATION
POPULATION
MIGRANTS (Wazamiaji)
THAMANI ZILIZOPO KWENYE MJI.
NET WORTH OF CITY
NB: Kwenda kwa statistic ni vizuri zaidi
NakurudiaNaomba kujua mapato ya Kigali na Dsm tujue kiuchumi ipi ipo juuu
Niliambiwa kama matatizo yakitokea TANZANIA, tusikimbilie RWANDA na tukimbilie KENYA.Kwanini tusikimbilie Rwanda na kenya?