House4Rent Kigamboni apartment for rent

House4Rent Kigamboni apartment for rent

Kigamboni city appartments zipo sehemu gani ? Umbali ni kiasi gani from barabara kuu ? Na je Kuna hela ya udalali au ndo kodi moja kwa moja chief ?
Sio mbali kutoka barabara kuu. Nyumba zipo karibu na Daraja la Nyerere. Unaweza kutembea hata Kwa mguu.

Mwendo wa Mwanamkee dk 10
Mwendo wa mwanaume dk 7
 
Nani kakuambia Kuna maji ya chumvi? Kigamboni ni maji baridi kbs yakisima
Una miaka mingapi unaijua kigamboni?

Kigamboni kuna maji ya chumvi sana tu na kuna sehemu zingine maji si ya chumvi
 
Kigamboni city appartments zipo sehemu gani ? Umbali ni kiasi gani from barabara kuu ? Na je Kuna hela ya udalali au ndo kodi moja kwa moja chief ?
Zipo kigamboni vijibwen. Karibu sana na daraja la Nyerere. Dalali maelewano. Sio mbali kutoka barabara kuu. Kwa kutembea Kwa mguu dk 10
 
Neno apartment huwa linatumika vibaya sana...
 
Una miaka mingapi unaijua kigamboni?

Kigamboni kuna maji ya chumvi sana tu na kuna sehemu zingine maji si ya chumvi
Swadaktaaa. Ila baada ya muda Kuna mradi wa maji utakamolika. Kote kutakuwana maji baridi
 
Swadaktaaa. Ila baada ya muda Kuna mradi wa maji utakamolika. Kote kutakuwana maji baridi
Ni baada ya muda sio!hiyo nyumba utaipangisha baada ya muda huo kufika maji ya baridi kigamboni nzima,au hiyo nyumba unaipangisha sasa ikiwa tayari kigamboni kuna sehemu yenye maji ya chumvi na sehemu nyingine yabaridi?
 
Back
Top Bottom