Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
sorry wadau kwa wale wataalamu wa engineering hivi hapo meli zitakatishaje kwenda bandarini?
Meli zinapita chini yake kikawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sorry wadau kwa wale wataalamu wa engineering hivi hapo meli zitakatishaje kwenda bandarini?
kama unafahamu yale maghala ya National milling (NMC) kurasini mbele yake kuna kampuni ya Malawi Cargo ndipo daraja litatokea kuunganisha na vijibweni - kigamboni. Eneo hilo kwa sasa linatumiwa na mitumbwi kuvusha watu kutoka vijibweni hadi kurasini. Hapo kuna mkondo mwembamba wa maji ya bahari ni kama mwisho wa maji yaliyoingia kidogo nchi kavu.
Mwenzake amejenga badaraja mawili Mkapa Bridge na Umoja Bridge yete kila moja lina urefu wa zaidi ya 700m .Na taratibu zote za ujenzi wa daraja la kigamboni zilishakamilika kabla Mkapa hajaondoka madarakani.Alivyoingia Jk badala ya kutekeleza akaanza kula bata kwa kufanya ziara za nje ya nchi kila kukicha.Ngoja tuone utekelezaji ...
Hiyo sio picha halisi pia halitapita maeneo ya ferry litakua huko kurasini!!