Kigamboni Bridge construction contract to be signed on Monday

Status
Not open for further replies.
hapo linapojengwa daraja sio njia ya meli ni mbele kurasini hadi eneo la vijibweni kigamboni
 
kama unafahamu yale maghala ya National milling (NMC) kurasini mbele yake kuna kampuni ya Malawi Cargo ndipo daraja litatokea kuunganisha na vijibweni - kigamboni. Eneo hilo kwa sasa linatumiwa na mitumbwi kuvusha watu kutoka vijibweni hadi kurasini. Hapo kuna mkondo mwembamba wa maji ya bahari ni kama mwisho wa maji yaliyoingia kidogo nchi kavu.
 

Thanx MAMA POROJO.
 

Mbona tumeshawazoea!hata chuo cha Dodoma,vitambulisho vya Taifa mtasema mipango yote imekamilika wakati wa Mkapa,lakin TRA iliyoanzishwa miezi miwili tangu mkapa kaingia madarakan mtasema mipango yote alianzisha mkapa mwenyewe,'mbwa ukishalijua jina lake hakupi shida tena'.Akikosea dk.jk ntamkosoa,akipatia sioni gere kumsifia,VIVA dr.mrisho!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…