Kigamboni Bridge Contract Signed

Hivi hili daraja litajengwa pale feli au?
 
Hivi hizo fedha zitarudi vipi kwa NSSF? Maanake ni pesa za uzeeni za wanachama.
 
Pesa zetu hizo mnaiba, elfu kumi ya mwaka 1990 na sawa na ya leo?
Acheni hizo.
 
Rekebisha hiyo heading yako ukiisoma vizuri utaona wapi umekosea
 
NSSF watarudishaje pesa za wanachama ambazo zinapelekwa kwenye mradi mkubwa kama huu ambo ulitakiwa ufanywe na serikali kuu wakati wastaafu wake bado wanalipwa pesa kiduchu??
 
NSSF watarudishaje pesa za wanachama ambazo zinapelekwa kwenye mradi mkubwa kama huu ambo ulitakiwa ufanywe na serikali kuu wakati wastaafu wake bado wanalipwa pesa kiduchu??
Serikali ilikuwa haina pesa za kufanya huu mradi na dunia ya leo serikali inaacha idara zingine zifanye miradi kama hii wao kazi yao ni kuregulate tuu

uzuri ni kuwa mradi kama huu haufanywi na mtu mmoja peke yake NSSF badi unafanywa na watu wengi tena kwa kushirikisha wanachama wa NSSF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…