Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hili daraja litajengwa pale feli au?
hata USA barabara kibao zinalipiwa.
Hivi hizo fedha zitarudi vipi kwa NSSF? Maanake ni pesa za uzeeni za wanachama.
Daraja litakuwa na toll yaani la kulipia kama inavyoonyesha hapa chini ya mradi wa BOT
![]()
Serikali ilikuwa haina pesa za kufanya huu mradi na dunia ya leo serikali inaacha idara zingine zifanye miradi kama hii wao kazi yao ni kuregulate tuuNSSF watarudishaje pesa za wanachama ambazo zinapelekwa kwenye mradi mkubwa kama huu ambo ulitakiwa ufanywe na serikali kuu wakati wastaafu wake bado wanalipwa pesa kiduchu??
kama kivuko?kinavyolipiwa?