Kigamboni Bridge Contract Signed

hahahahahah,kweli mtoto wa Dr Dau unajua ku'shawish,ila historia ina0nesha kuwa huwa tungeuka kuwa loser
Kwenye hili naomba tuaminiane
ila nakushauri kama bado kawahi ukachukue viwanja Kigamboni
speculators wasije kukuzidi akili
 
kaka naomba utuletee ushahidi ku support hii hoja yako tafadhali
 
Tunajitahidi sana kuwasikiliza wanachema wetu

Je unaweza kuwafananisha NSSF na PPF au PSPF au mifuko mingine ya pensheni?

mifuko yote ni ya kinyonyaji,wanachama wanalia kila kukicha
 
Serikali imeamua kujenga darasa,coz wanajua kuwa Kigambon utakua mji wa kibepari,so watanufaika nao,na c vingnevyo
Serikali inatoa 40%
NSSF inatoa 60%

watakao faidia ni wananchi wa Tanzania
 
It is a good step forward this is what we call Public-private partnership (PPP) which involves a contract between a public sector authority and a private party, in which the private party provides a public service or project and assumes substantial financial, technical and operational risk in the project. In some types of PPP, the cost of using the service is borne exclusively by the users of the service and not by the taxpayer
 
lina sehemu ya watembea kwa miguu? je nao watalipia?
 
Mbona hamleti maswali ?

Kwani lazima mkuu! Una hamu sana na munkari wa kufanya PR nini! Tulia mjomba. Nway it is gud for the dream to come true. Itaondoa kabisa huu ubabe wa akina Magufuli kuwatoza watu na mjadala mzima unaoendelea sasa!

Au mtatawatoza kama alivyowaambia watu "Mnafikiri hata daraja likijengwa hamtalipa hela, mtalipa?"
 
Kwa nini moradi mingi ya NSSF inafanywa na hii kampuni ya CRJE?

Je ma sub contractor watakuwa wazalendo au kila kitu mchina?

Je ma sub contractor wazalendo ni wepi?

Site mnaingia lini rasmi?
 
Itachukua muda gani kwa NSSF ku-recover cost as well as value (the invested) for money? Pili ni kigezo gani kilichotumia kukokota malipo ya kupita darajani ili kuendana na muda wa ku-recover cost ukitilia maanani hali ngumu ya uchumi kwa watumiaji/wananchi?
 
Kwa nini moradi mingi ya NSSF inafanywa na hii kampuni ya CRJE?

Je ma sub contractor watakuwa wazalendo au kila kitu mchina?

Je ma sub contractor wazalendo ni wepi?

Site mnaingia lini rasmi?

suala la sub'contractorz ni swali murua mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…