TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Kuna via a kwenye claims wameacha ko na rushwa sasa wanaagiza kwa itemizingNaomba unitumie PM ili nilishughulikie suala lako ipasavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna via a kwenye claims wameacha ko na rushwa sasa wanaagiza kwa itemizingNaomba unitumie PM ili nilishughulikie suala lako ipasavyo
Kwa maelezo yako inaonekana unajiamini kuwa unajua sana decision making process ya NSSF na unao ushahidi kuwa members hawajawakilishwa
naomba unipe ushaidi kuback up argument yako
It is a good step forward this is what we call Public-private partnership (PPP) which involves a contract between a public sector authority and a private party, in which the private party provides a public service or project and assumes substantial financial, technical and operational risk in the project. In some types of PPP, the cost of using the service is borne exclusively
by the users of the service and not by the taxpayer
It is a good step forward this is what we call Public-private partnership (PPP) which involves a contract between a public sector authority and a private party, in which the private party provides a public service or project and assumes substantial financial, technical and operational risk in the project. In some types of PPP, the cost of using the service is borne exclusively
by the users of the service and not by the taxpayer
Kweli kwa hatua hii binafsi naipongeza Bidii ya namna hii. Ukamilifu wa Daraja hili utaleta Picha mpya ya eneo la Kigamboni, Jiji la DSM pamoja na nchi yetu kwa ujumla. si vema Tukawa mabingwa saana wa Kukosoa kila kizuri kinachofanywa na serikali. Kwa miongo kadhaa sasa Tanzania Imekuwa ikutambulika kwa Mnara wa Askari pale Posta kama picha nembo ya nchi, kama vile paramond la Us au mnara egamo wa UK. Lakini Tujiulize, watumiaji wa daraja ni akina nani, na wanataka nini. Nadhani watumiaji ni sisi wananchi, Mkataba huo 100% hauelezi ushirikishwaji wa mwananchi (mtumiaji). huo ndio kila siku tunaisema Mamlaka ya Manunuzi serikalini PPRA ambao ndio source ya Mikataba mama yoote ya nchi hii inayohusu shughuli kama hizi na nyinginezo. Ukisoma takriban Kurasa 728 za Mkataba huo uliosheheni Kiingereza (ambacho sio Lugha mama ya taifa) Hauelezi Leading line ya consumer. Nenda Pote kwenye Ukanda wa Dunia ya leo ambayo nchi inapowajibika kuweka Mradi ambao ni keto la Bajeti yake (out of Gov Budget) Lazima mwananchi wa kawaida ashirikishwe na ajue kinachoendelea NA KITACHOENDELEA. Ona, High way zote za Korea wanalipa won 3000, sawa na Tsh 5400 kwa pito, Japan wanalipa Yen 350 sawa na Tsh6200, hata huko Uk unakosema Dartford Crossing ambayo huvuka MTO THAMES na Gharama ya toll ni Sterling 3.7 sawa na kitu kamaTsh 9,800 na hiyo ni bei ya tax tu bei huenda mpaka paund 17.2 kwa magari makubwa ambayo ni kitu kama Tsh46,300, sasa tujiulizage hawa wananchi ambao tunalipaga Tsh 800 kwenye panton kuvusha tax,saloon, pick up, je wataweza kulipia Kiasi gani ili hayo mabilioni yalipwe. Kweli kama walivyosema kwenye bango lao kwamba Ni NDOTO. kweli bado ni ndoto , na imekuwa ndefu karibia lakini asubuhi itafika tupike uji tunywe.. tukapalilie mchicha na maharage, tulale tena sijui tutaota nini tena..Daraja litakuwa na toll yaani la kulipia kama inavyoonyesha hapa chini ya mradi wa BOT![]()
Leo Hujakimbia maswali kama Kawaida YakoMbona hamleti maswali ?
Hapo kwenye Red Moja Kuna Utata Mkubwa.... Riz1 Sijui kama Hayumo na pili Wanachama Wepi Mbona Sie Hatufahamu Kitu ni Bora Ungesema Wafanyakazi wa NSSF tena wa Ngazi za Juu kupeana ulaji tu...Serikali ilikuwa haina pesa za kufanya huu mradi na dunia ya leo serikali inaacha idara zingine zifanye miradi kama hii wao kazi yao ni kuregulate tuu
uzuri ni kuwa mradi kama huu haufanywi na mtu mmoja peke yake NSSF badi unafanywa na watu wengi tena kwa kushirikisha wanachama wa NSSF
Hiko ni kifupi cha nini? Chines .......or something else?
kati ya bidders wote huyo ndio kasema anaweza kuufanya kwa muda mfupi uliopo huo wa 3 yrsIla miaka mitatu ni mingi mno.
Halina. Hawajazingatia watembea miguu kwani muda wao kuthaminiwa haujafika.
sasa bila ushaidi tutaweza kujadili nini?
Mbona TRA kumejaa madudu mengi tuu na hamlalamiki?