,
Hii inaonesha kuwa MJI WA KIGAMBONI UTAKUWA NI WA KIBEPARI ZAIDI na kuwa watakaokaa maeneno hayo ni watu WENYE MAGARI TU ! au siyo ? Naomba Mr NSSf anijibu tafadhali ...haingii akilini kujenga daraja ambalo halina sehemu ya waenda kwa miguu wala baskeli , ni wazi huo ni mji mtarajiwa wa KIBEPARI ! Mr.NSSF tafadhali nijibu nina shauku!
nawashangaa sana watanzania -- yaani tunakubali eti daraja lijengwe la kulipia kweli? hilo daraja la mkapa Rufiji nani analipa? hili la salenda nani analipa? hilo la jangwani nani analipia? hilo daraja la Ruvu na kule wami nani analipia? yaani imefikia hatua madaraja na vivuko mnaanza kuvigeuza kutoka kwenye huduma za jamii sasa mnaingiza biashara kweli ni sahihi? yaani mmekosa vyanzo vya hela ila kuwatoza maskini wapitao kwenye hili daraja? miaka 50 ya uhuru tunaotambia tumethubutu tunashindwa kujenga daraja la 300b kwa hela zetu za ndani mpaka tukope kope toka mifuko ya jamii na wahisani? aisee let us be serious huu sasa utani umezidi guys!!!Walengwa wa daraja hili la kulipia si ndio hao wanaoshindwa kulipia mia mbili? Ngoja tuone kama wataweza kulipia hapa! labda hao nssf na tanroad waweke kiwango hicho hicho cha jiti (mia)
nasangaa sana watanzania -- yaani tunakubali eti daraja lijengwe la kulipia kweli? hilo daraja la mkapa Rufiji nani analipa? hili la salenda nani analipa? hilo la jangwani nani analipia? hilo daraja la Ruvu na kule wami nani analipia? yaani imefikia hatua madaraja na vivuko mnaanza kuvigeuza kutoka kwenye huduma za jamii sasa mnaingiza biashara kweli ni sahihi? yaani mmekosa vyanzo vya hela ila kuwatoza maskini wapitao kwenye hili daraja? miaka 50 ya uhuru tunaotambia tumethubutu tunashindwa kujenga daraja la 300b kwa hela zetu za ndani mpaka tukope kope toka mifuko ya jamii na wahisani? aisee let us be serious huu sasa utani umezidi guys!!!
Mbona hamleti maswali ?
sasa bila ushaidi tutaweza kujadili nini?
Mbona TRA kumejaa madudu mengi tuu na hamlalamiki?