KERO Kigamboni City College kushindwa kulipa clinical instructors kwa zaidi ya miezi mitatu

KERO Kigamboni City College kushindwa kulipa clinical instructors kwa zaidi ya miezi mitatu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya.

Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali.

Walipoulizwa juu ya ucheweleweshaji wakasema wanangoja wwanafunzi walipe ada ya mwaka huu ndio walipe, jambo ambalo sio la kweli kwani hakuna mwanafunzi anaeruhisiwa kufanya mitihani ya wodini bila kulipa na asipolipa matokeo hayotoki mpaka alipe.

Sasa ni miezi mitatu na hakuna majibu eleweka kutoka ofisi husika. Chuo hichi hii tabia imekuwa ya kujirudia, tunaomba NACTVET waingilie kati tupate haki zetu.
 
Back
Top Bottom