kigamboni... corruption, deliberate and government losses

kigamboni... corruption, deliberate and government losses

KIWAVI

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Posts
1,817
Reaction score
700
nipo feri, for an hour now, kuna vidaftari ya wakubwa wanaopitia VIP, kuna zaidi ya 20% ya peasa isiyofika juu, kuna foleni ya karaha wiki hii, simply to make us desperate... e.g. ijumaa tulipanga foleni hadi kwa pinda wakati jamaa walikua wamekaa wanakula miwa

nadhani ni high time tuwe ma nagamenet structure kusaidia haya

nipo foleni for the past 2 hours................. daraja sijui litakuja 2090?
 
as far as we are concerned, hawa jamaa wanawasha engine chache ili wapate pesa ya mafuta, wana lile daftari la watu fulani sasa wanalitumia pia kupokea pesa feki na pia wana ticket wanazokusanya na ku-recycle


nasikitika sana kwamba kila chenye public management kina kasoro kubwa kutokana na kuweka wenye ulafi uliokubuhu

serikali muelewe kwamba kumtenda wa kigamboni ni sawa na kuweka barrier makumbusho na kuwasumbua raia wema wenyw upendo na nchi yao, kibaya zaidi ni kwamba barabara zote watu hawalipi ukiondoa zile charges za kwenye mafuta wakati sisi tunalipia kodi ya mafuta, tanroads na kivuko kwenye ferry zetu

we pay more and enjoy less

is there any cleanliness in tanzania?
 
Back
Top Bottom