Kigamboni: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri

Kigamboni: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Taarifa kwa wanaotumia vivuko kuelekea na kutoka Kigamboni jijini Dar es Salaam: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri.

FMGjXlHXwAAzlC-.jpg
 
Leo nimepita njia ya mji mwema nimekiona hiko kivuko kwenye yard ya Songoro marine nikajua kumekucha, wacha niendelee kuzunguka darajani. Nawapongeza bandari kwa kujenga bandari road kwa zege na kuondoa msongamano wa malori.
 
nahisii harufu ya ankaraa - inagharimu bei gani kukifanyia matengenezo?
 
Tangazo halijitoshelezi...matengenezo yanategemewa kuchukua muda gani?
 
Songoro mwenyewe si alifariki! Nafikiri kampuni yake ndo imebaki inapiga pesa
Alipofariki alikuwa na pisi kule songea naona wakaizima fasta. Yule mzee alikuwa fresh sana sema kimbito balaa 😃
 
Tozo za darajani duh wenye magari kazi wanayo
 
Back
Top Bottom