Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto
Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa.
Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema kwa ajili ya kuapishwa walielekezwa kurudi siku ya kesho yake ambayo ni leo.
Soma: Msimamizi wa Uchaguzi Dodoma: CHADEMA wameweka mawakala 55 katika vituo 666
Kwa upande mwingine, mawakala wa CCM waliowasili baadaye yaani siku ya jana waliruhusiwa kuapishwa mara moja meanwhile wale wa CHADEMA bado hawajaapishwa.
Kinachonekana hapa ni kwamba CCM hawataki mawakala wa vyama vingine waapishwe ili wapate mwanya wa kujiwekea matokeo wanayoyataka wao.