Kwa upande mwingine, mawakala wa CCM waliowasili baadaye yaani siku ya jana waliruhusiwa kuapishwa mara moja meanwhile wale wa CHADEMA bado hawajaapishwa.
Kinachonekana hapa ni kwamba CCM hawataki mawakala wa vyama vingine waapishwe ili wapate mwanya wa kujiwekea matokeo wanayoyataka wao.
Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto
Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa.
Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema kwa ajili ya kuapishwa walielekezwa kurudi siku ya kesho yake ambayo ni leo.
Soma:
Kwa upande mwingine, mawakala wa CCM waliowasili baadaye yaani siku ya jana waliruhusiwa kuapishwa mara moja meanwhile wale wa CHADEMA bado hawajaapishwa.
Kinachonekana hapa ni kwamba CCM hawataki mawakala wa vyama vingine waapishwe ili wapate mwanya wa kujiwekea matokeo wanayoyataka wao.
Watu wengi hapa nchini ni mbumbumbu, wasamehe hawajui walitendalo, tulipigana vita na wakoloni waliokuwa wabaguzi ili tuishi kwa uhuru na amani lakini badala ya kuondoka wakoloni tumeanza kugeukiana sisi kwa sisi tunafanya hivi Kwasababu hatuna hakili ni mbumbumbu historia ya Tanzania ni vita mtambue hilo