PreGE2025 Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange akamatwa na TAKUKURU kwa Rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani uteuzi wa wabunge ndani ya ccm umeanza? Kwa hiyo ccm inataka kufanya uteuzi wa wabunge wake watakaopeperusha bendera yao kwenye uchaguzi mkuu fasta kama walivyofanya kwenye uraisi au ni kuziba nafasi ya ubunge kwa jimbo moja tu la kigamboni nafari iliyoachwa na ndugulile? Sasa mbona muda ni mfupi kuelekea bunge kuvunjwa?
 
Hapo Habibu atakuwa ameingilia njia za wenzake! Kama kweli TAKUKURU wapo wangeanza na SSH, Tulia, Mwigulu na wana ccm wengine wote waliotangaza nia!
Kwanza wanashiriki michakato ya uchaguzi kwa kutoa rushwa na kufanya ushawishi kwa wagombea kabla ya muda muafaka. Kifupi ni kwamba WANA HONGA NA KUTOA RUSHWA!
 
Hivi ile tume ya uchaguzi ipogo?
 
Ng'ombe aliyekatwa MkiaπŸ˜…πŸ˜…
 
Huyo kalengeshwa,huenda na hao hao Wajumbe ambao huenda mapema wameshakula cha Mtu wamlindie. kuna Kidogo analitaka jimbo.
Mtaka jimbo kashawalisha Dodo hao Takukuru na waoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyu jamaa anakamatwa kila siku???
Mbona toka majuzi tuliambiwa kakamatwa.
 
Kuna mtu kashaanza kujisafishia njia kupunguza upinzani wa ndani...
 
Habibu Mchange ni ng'ombe aliyekatwa mkia, hivyo ng'ombe wenye mikia wanamuona kirahisi sana.

Kuna wanaccm kindakindaki na wanaccm wa kuja kama Habibu Mchange . Hawa wanaccm wakunja watajuta kuifahamu ccm
 
Hivi Habibu Mchange ni Yule aliyekuwa Chadema au ni Mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…