Kigamboni New City Master Plan

Kigamboni New City Master Plan

jamani kigamboni kwa heriiii,wakazi wakigamboni hawajui hatima ya maisha yao baada ya stoporder kuisha watu wanajenga wangine hawajui cha kufanya,mama prof Tiba sijui haoni madudu haya au anataka nini?,
baadhi ya madudu haya hapo
1.mjini wa kigamboni unauzwa na mswada unapeleka bungeni wa mamlaka ya mji wa kigamboni wadau hawajui
2.HII NI KWA MZEE MAGOFULI
  • watadu wako hapa fresh walituletea mashine za kukatisha tiketi wakafunga mpaka leo hazifanyi kazi ila kila wakitaka kula wanaleta mafundi watengeneze,FUATILIA
  • Lile boti la kuokolea lililofunguliwa na raisi la mabilioni lipo tu pale ngombo ya bahari halifanyi kazi,Wandishi pigeni picha mumulize raisi watu anakumbuka ni mwaka jana tu alizindua boti hilo
  • wadau hii najua wengi hawatapenda,jamaani ukikata tiketi pale wakupe kipande cha abiria kwani usipochukua wanarudisha wanauza tena,ndiyo maana ata wanamaliza vyuo vikuu wanagombania pale,Mhe mwakembe upo?

punguza mbio ndugu.....
 
Mimi navyo elewa kuna Development Company ya Marekani inataka kutengeneza mji wa kisasa na wana partner na serikali. Hii ni kitu cha kawaida na huku sio kuuzwa kwa namna yeyote!!. Inabidi tuache tabia ya kufikiri kila development inayofanya na kampuni ya nje ni kuuza nchi kwani serikali haiwezi kufanya kila kitu. Kama itawanufaisha Watanzania je kuna ubaya gani kwa kampuni hii kushirikiana na serikali na kujenga sehemu za kuishi za kisasa, office, hospitali, Hotels, shule etc!!

Safi sana maneno yako mkuu, ni ya maana kabisa. Haya ya kusema nchi inauzwa ni mambo yalishapitwa na wakati. Kila nchi ilio fanikiwa kiuchumi ina karibisha washiriki ikiwa wa ndani au nje katika miradi ya manufaa kwa wote.
 
Wawazo ya m2 yaheshimiwe.
Ila ya tiketi imekaa njema kwn hata mm nilishawahi kuona hako kamchezo ka kutochana tiketi n kuziuza tn.hayo ya maendeleo!sijui kwa kweli,vp daraja la kigamboni!is more thn 10 yrs tunasikia khs daraja?
 
Serikali yetu kweli inakosa mwelekeo, badala ya kufikiria kujenga maabara za shule, kuhakikisha upatikanaji wa maji safi, umeme, barabara na huduma za afya, serikali inaota ndoto za kujenga Kigamboni city. Je hii kigamboni city ni kwa ajili ya nani? unadhani mtoto wa mkulima ataingiza mguu wake hapo, nionavyo mimi Kigamboni city patakuwa ni mahala pa mafisadi na familia zao kwenda kupumzika na kutumia fedha za walala hoi walizochota.
 
YouTube - Kigamboni - New Dar City Center

Wadau, nimejaribu kucheki hapa Kiwanjani petu lakini sijaiiona hiii ya kigamboni....kama mmeshaiona basi hakuna haja ya ku-comment ila kwa sisi ambao hatujaiona ni vyema kuweka mawazo yetu.

Kwa ufupi kwa hali hii, Tanzania imenunuliwa maana ukiangalia kwa undani hii picha ni kwamba hakuna uwezekano tena wa mtu wa kawaida kwenda kuishi au hata kutembea huko Kigamboni......

Ndugu zangu ambao mnatumia simu mtaniwia radhi maana hii video ni kubwa kidogo. Siwezi kuielezea kwa ufasaha nisije danganya but comments za wajumbe na washiriki watasaidia kuhusu hili.

Nawakilisha
 
YouTube - Kigamboni - New Dar City Center

Wadau, nimejaribu kucheki hapa Kiwanjani petu lakini sijaiiona hiii ya kigamboni....kama mmeshaiona basi hakuna haja ya ku-comment ila kwa sisi ambao hatujaiona ni vyema kuweka mawazo yetu.

Kwa ufupi kwa hali hii, Tanzania imenunuliwa maana ukiangalia kwa undani hii picha ni kwamba hakuna uwezekano tena wa mtu wa kawaida kwenda kuishi au hata kutembea huko Kigamboni......

Ndugu zangu ambao mnatumia simu mtaniwia radhi maana hii video ni kubwa kidogo. Siwezi kuielezea kwa ufasaha nisije danganya but comments za wajumbe na washiriki watasaidia kuhusu hili.

Nawakilisha

They tend to nickname it as BLUE DIAMOND OF TZ,jamani hivi tz twaenda wapi?yani hadi malalio yetu twayauza,mkwere inabidi awajibike anashndwa wambia watu na hao watu watahamishwa kwa nguvu...lets pray kwamba tubakie na umaskini wetu ila urithi wetu tuutunze.
 
Changa jingine la macho hilooooo!

Mwenye kula chura na aleee, ruksaaa
 
Yan nimeiona hyo, ni ndef kimtindo kama dakika 10 hvi, inasemekana bush alivyokuja ndo ameinunua
 
mzee hi ki2 haianzi leo wala kesho.yawezekana csi tukatangulia mbele ya haki hi mambo bado.
 
mzee hi ki2 haianzi leo wala kesho.yawezekana csi tukatangulia mbele ya haki hi mambo bado.

Mpwa, nadhani hukusikia baadhi ya vipengele kuwa ile land survey na vitu vingine muhimu tayari, na mradi unatarajiwa kuisha late 2020, lakini pia hata kama hatutakuwepo, je watoto na watoto wa watoto wetu hawatakuwepo pia??? I doubt kama tutajiangalia sisi wenyewe tu pasipo kuangalia na wengine hatutakuwa tumetandea haki.....
 
jamani hii Kigambon project inakwamisha mambo mengi ya kimaendeleo, sijui kuna mwanajamii anafahamu imefikia wapi hivi sasa?
 
jamani hii Kigambon project inakwamisha mambo mengi ya kimaendeleo, sijui kuna mwanajamii anafahamu imefikia wapi hivi sasa?

huo mradi kutekelezwa ni ndoto. ni sawa na kuingiza mfumo wa kompyuta mahala ambapo watu wanafanya kazi kwa mikono. lazima utapigwa vita tu.

juzi-juzi tu mtu kanusurika kufa kwa kipigo kutoka kwa mamlaka za feri kwa kosa la kushindwa kulipa shilingi 100. kuna watu wanafaidika na hizo mia-mia za kivuko na wanaamini kujengwa kwa daraja kutawakosesha ulaji. hii ni nchi ya rushwa. au umesahau?
 
jamaa wanajizatiti, jana tu tulikuwa na kikao kisarawe ii dawasa wanachukua mashamba yote yasiyokuwa kwenye mradi wa viwanja 20000 nadhani ni maandalizi ya kigamboni city
 
pindi nipo mdogo Nilisoma kitabu cha this Time tommorow nilijua hayo hayata jirudia tena , lakini kila nikifikiria kigamboni project swali llinalo niijia nikwamba kama serikari iki sema hivi sasa watu wakigamboni tuhame na wakati tumezaliwa hapa hapa where will i be this time 2morrow?
 
Kila kitu kinachotakiwa kimeshafanyika, kipo tayari ni utekelezaji tu ila kwa taarifa zaidi search humu ndani hasa kwenye mojawapo ya post zangu niliwahi kupost video yake pamoja na taarifa muhimu! ipo na inakuja mkuu, hatutatia mguu kule, angalia vizuri ile video au isachi kwenye google uicheki utaamini kuwa tumeuzwa!!!
 
jamani hii Kigambon project inakwamisha mambo mengi ya kimaendeleo, sijui kuna mwanajamii anafahamu imefikia wapi hivi sasa?
....imeishia kwenye DVD!
Hiyo ndo Bongo mkuu, maneno mengiiiiii, utekelezaji haba. (kama soka na wabrazil)
 
Back
Top Bottom