Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alafu elfu 5 wamefanya kama standard juzi nimemminyia mmoja kaenda nyuma ya gari kakuta elfu 4 akaludi kusema nimuongezee bukuHatari pale!!jamaa wanatega Mwanzo mwa Daraja ukitokea Kurasin,na Ile nuksi ukitokea feri,jamaa anajificha pale kwenye Mizani pale unapokaribia kwenye Kulipia daraja!Hakika wanapata hela maana pale ni kuanzia elfu 5 ndio unaachiwa !!
Madereva wenzangu tuzingatie sheria na Alama za barabarani
Hii barabara inakatisha sana tamaa,kufanya kazi Arusha na kurudi Moshi ni Changamoto sana.Barabara ya kuanzia arusha Hadi moshi inaingoza Tanzania.
Kuanzia elfu 5 wakati njia ya external majichumvi ukiotewa ni 10 bila story!Hatari pale!!jamaa wanatega Mwanzo mwa Daraja ukitokea Kurasin,na Ile nuksi ukitokea feri,jamaa anajificha pale kwenye Mizani pale unapokaribia kwenye Kulipia daraja!Hakika wanapata hela maana pale ni kuanzia elfu 5 ndio unaachiwa !!
Madereva wenzangu tuzingatie sheria na Alama za barabarani
Speed camera dsm ziliondolewa au ni dsm ipiHivi kwanini Kigamboni kuna camera nyingi barabrani za speed au ni kwakuwa nje ya DSM yaani unadrive kama unasafiri mkoani
Kutoka Kigamboni Kigamboni mpaka Maweni kuna camera, nyingine kati ya maweni na Kibada, nyingine kati ya Kibada na Kongowe na nyingine kati ya Maweni na Mwongozo. Tena Traffic Polisi wanajificha ili kukunasa, na mbaya hakuna vibao vinavoelekeza speed. Ukibahatika elfu 5 ya chai au uandikiwe 30.Speed camera dsm ziliondolewa au ni dsm ipi
Kuanzia elfu 5 wakati njia ya external majichumvi ukiotewa ni 10 bila story!
Kutoka Kigamboni Kigamboni mpaka Maweni kuna camera, nyingine kati ya maweni na Kibada, nyingine kati ya Kibada na Kongowe na nyingine kati ya Maweni na Mwongozo. Tena Traffic Polisi wanajificha ili kukunasa, na mbaya hakuna vibao vinavoelekeza speed. Ukibahatika elfu 5 ya chai au uandikiwe 30.
Hawa wasenge wamesambaa kama njaaDuh kumbe wapo hiyo barabara [emoji2]
Hawa wasenge wamesambaa kama njaa
havipo mkuu.. hua naona vya zebra tu!. na wanakuaga pale maweni, na pale kituo cha sabato karibu na shangwe ( hawa nmewakariri walinidaka nkiwa na gari ya kuazima).Hamna vibao? Au wewe ndo hujaviona?
wanakera kisenge yanHao jamaa wamekuwa kama vibaka!
hujasafiri ww?Barabara ya kuanzia arusha Hadi moshi inaingoza Tanzania.
Camera zimerudi tena DAR,hizi nimepigwa tochi mitaa ya skanska Tegeta nilikuwa speed 64 na traffic akalamba huku 5 kama kawaidaSpeed camera dsm ziliondolewa au ni dsm ipi