Kigamboni sehemu yenye speed camera nyingi barabarani

Hatari pale!!jamaa wanatega Mwanzo mwa Daraja ukitokea Kurasin,na Ile nuksi ukitokea feri,jamaa anajificha pale kwenye Mizani pale unapokaribia kwenye Kulipia daraja!Hakika wanapata hela maana pale ni kuanzia elfu 5 ndio unaachiwa !!
Madereva wenzangu tuzingatie sheria na Alama za barabarani
 
alafu elfu 5 wamefanya kama standard juzi nimemminyia mmoja kaenda nyuma ya gari kakuta elfu 4 akaludi kusema nimuongezee buku
 
Nje ya Dar au sio...unajua ukivuka na pantoni unatumia dakika ngap kufika ikulu ukitokea kigamboni?
 
Hatari pale!!jamaa wanatega Mwanzo mwa Daraja ukitokea Kurasin,na Ile nuksi ukitokea feri,jamaa anajificha pale kwenye Mizani pale unapokaribia kwenye Kulipia daraja!Hakika wanapata hela maana pale ni kuanzia elfu 5 ndio unaachiwa !!
Madereva wenzangu tuzingatie sheria na Alama za barabarani
Kuanzia elfu 5 wakati njia ya external majichumvi ukiotewa ni 10 bila story!
 
Hivi kwanini Kigamboni kuna camera nyingi barabrani za speed au ni kwakuwa nje ya DSM yaani unadrive kama unasafiri mkoani
Speed camera dsm ziliondolewa au ni dsm ipi
 
Kutoka Kigamboni Kigamboni mpaka Maweni kuna camera, nyingine kati ya maweni na Kibada, nyingine kati ya Kibada na Kongowe na nyingine kati ya Maweni na Mwongozo. Tena Traffic Polisi wanajificha ili kukunasa, na mbaya hakuna vibao vinavoelekeza speed. Ukibahatika elfu 5 ya chai au uandikiwe 30.
 
Hamna vibao? Au wewe ndo hujaviona?
 
Hamna vibao? Au wewe ndo hujaviona?
havipo mkuu.. hua naona vya zebra tu!. na wanakuaga pale maweni, na pale kituo cha sabato karibu na shangwe ( hawa nmewakariri walinidaka nkiwa na gari ya kuazima).
 
Barabara ya kuanzia arusha Hadi moshi inaingoza Tanzania.
hujasafiri ww?

Ninda Iringa mapaka makambako

Njoo Mkoa wa pwani..pwani pande zote yaani ukitoka Mbagara mpaka Kibiti ikwirir ni shida Ukija KIbaha mpaka moro noma nenda Bunju mpaka Tanga ,,nadhani pwni inaongoza...
 
Dodoma - Singida - Nzega napo ni balaaa….ukitoboa hicho kipande hujashikwa una Bahati. Napenda kukipita usiku juzi nimejidai kupita mchana nimedakwa sehemu tatu tofauti khaaaa…...mpaka Sekenke wapo tena siju wankaaa juu ya miti maana ile picha nilicheki nakacheka kwanza ilibidi niwe mpole kibao cha 30 nashuka zangu na 65 sina muda……...imepigwa kama zile za jiographia ……. topographical sijui
 
Back
Top Bottom