ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Uongozi wa kigamboni kuna barabara mbili pale feri ambazo kwasasa zinapita njia moja japo zina michoro ya njia mbili na kipindi cha nyuma zilikuwa zinatumika kama njia mbili tunaomba muweke alama zinazoonekana na zinazokataza gari kuingia.
Katika njia hizo ⛔ pale mwanzo kuingia na sio vile vibao vimewekwa mbali na hizo Kona na imekuwa usumbufu mkubwa kwa watumiaji na imekuwa mradi tena ukiingia njia hiyo kwa makosa.
Katika njia hizo ⛔ pale mwanzo kuingia na sio vile vibao vimewekwa mbali na hizo Kona na imekuwa usumbufu mkubwa kwa watumiaji na imekuwa mradi tena ukiingia njia hiyo kwa makosa.