Kigamboni Wing: Special Thread

Kigamboni Wing: Special Thread

Kigamboni,Toangoma NHC Project.
NHC Project.jpg
NHC Project 2.jpg
 
Kama wewe ni mtu uliyeishi zamani maeneo ya kigamboni kuanzia Ferry hadi Mjimwema lazima utajua hizi sehemu/hawa watu.

-Mzee Msepele.
-Unyoya(Muendesha Pikipiki wa zamani)
-Masanga Upepo(Muendesha Baiskeli kwa mbwembwe)
-Mzee Majisu
-Babu Rada,Alikuwa ana matatizo ya akili yeye akikuta mnakula aulizi ananawa na kuanza kula.
-Milango saba.
-DJ Adeline(Muonyesha Video)
-DJ Salim(Muonyesha video miaka ya 80 Wema Bar,Kwa urasa)
-Mzee Banjula
-Mwalimu Ndowo
-Mwalimu Sajilo.
-Minazi Kinda kwa Wachoma chokaa
-Kichanga Chui
-Geti Kiguru
-Jumba La maendeleo
-Ugawaji,NMC walipokuwa wanagawa unga wa yanga na sukari.
-Flamingo Bar
-Mzee Mlaliji.
-Gorofani,Ferry ndio Ghorofa la kwanza miaka ya 80's
-Mzee Issa Ngula(Bondia)
-Bibi Turure
-Uwanja wa Swala
-Mzee Mkwera (Mpiga Picha Miaka ya 80 na 90.
-Bwawa la Biasi(lilikuwa Tiper limeua watu sana hilo bwawa miaka ya 80's)
-Komandoo Muyogola(Alitingisha mwaka 1984 baada ya kuteka kituo cha polisi kigamboni na kwenda kujificha Kisota,Enzi hizo kisota ni Pori hasa).

Kigamboni mbutu kichangani nina eneo nimenunua 2010 nikiwa chuo. Kila hatua ya maendeleo ninayoona kigamboni najivunia sana huko naamini iko siku nitaishi huko. Mungu aniondolee fikra za kuuza eneo langu naamini miaka 10 ijayo bei itakua kubwa sana nina imani hiyo.
 
Kama wewe ni
mtu uliyeishi zamani maeneo ya kigamboni kuanzia Ferry hadi Mjimwema
lazima utajua hizi sehemu/hawa watu.

-Mzee Msepele.
-Unyoya(Muendesha Pikipiki wa zamani)
-Masanga Upepo(Muendesha Baiskeli kwa mbwembwe)
-Mzee Majisu
-Babu Rada,Alikuwa ana matatizo ya akili yeye akikuta mnakula aulizi
ananawa na kuanza kula.
-Milango saba.
-DJ Adeline(Muonyesha Video)
-DJ Salim(Muonyesha video miaka ya 80 Wema Bar,Kwa urasa)
-Mzee Banjula
-Mwalimu Ndowo
-Mwalimu Sajilo.
-Minazi Kinda kwa Wachoma chokaa
-Kichanga Chui
-Geti Kiguru
-Jumba La maendeleo
-Ugawaji,NMC walipokuwa wanagawa unga wa yanga na sukari.
-Flamingo Bar
-Mzee Mlaliji.
-Gorofani,Ferry ndio Ghorofa la kwanza miaka ya 80's
-Mzee Issa Ngula(Bondia)
-Bibi Turure
-Uwanja wa Swala
-Mzee Mkwera (Mpiga Picha Miaka ya 80 na 90.
-Bwawa la Biasi(lilikuwa Tiper limeua watu sana hilo bwawa miaka ya
80's)
-Komandoo Muyogola(Alitingisha mwaka 1984 baada ya kuteka kituo cha
polisi kigamboni na kwenda kujificha Kisota,Enzi hizo kisota ni Pori
hasa).

kipindi kile nyumba ya mwalim ndowo inauungua ulikuwapo?
 
kipindi kile nyumba ya mwalim ndowo inauungua ulikuwapo?

Nakumbuka ila nshasahau mwaka gani,mie nakumbuka milipuko ya matank tiper mwaka 1998 ilikuwa balaa tulikimbia kuanzia mjimwema na bukta hadi ferry.
 
Nakumbuka ila nshasahau
mwaka gani,mie nakumbuka milipuko ya matank tiper mwaka 1998 ilikuwa
balaa tulikimbia kuanzia mjimwema na bukta hadi ferry.

ilikua '95, enzi za mv usiwekupe, panton yenye mdomo mmoja. enzi hizo kuingia ktk hiyo panton ni full kusukumana
 
Amalinze,Pongezi kwa kuanzisha hii mada kuhusu Kigamboni
Chanzo kikubwa cha utajiri wa SCABA SCUBA ni biashara ya sembe,hii ndio ilimpa hela nyingi sana alivyopata fedha ndio aka-invest kwenye hardware,real estate na biashara ya mbao

Pia naona umeisahau Bamba Beach,hii ni beach kongwe ipo mbali sana timu ya Simba huwa wanaenda kuweka kambi kwa sababu ya utulivu pia huwa inatumika sana kwenye semina na makongamano ya kidini
 
Last edited by a moderator:

Yap niliisahau ipo maeneo ya mwongozo hiyo beach,thanks kwa kunikumbusha.Usimchanganye Scuba wa kigamboni na wa magomeni.
 
Siku zote najua Scuba wa Magomeni ni familia mmoja na huyo wa Kigamboni
 
Back
Top Bottom