zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sio ukikosea mfano mimi nikiogea sabuni yoyote ambayo siyo ya kipande lazima niwashwe mpaka navimba mwili mzima ila je ina maana Sabuni zipigwe marufuku??Ukikosea matumizi ya condom na chandarua lazima upate madhara, vipi kwa chanjo?
Nachosema ni kwamba kila mwili una atrribute zake za kiafya ndio maana kuna watu wanatumia ARV ila bado wanakufa kwa CD4 kushuka kila siku so huwezi zuia kusambaza ARV eti kisa kuna watu 100 kati ya million 1 ambao haziwasaidii chochote!! Tusikariri tupende kufanya utafiti.
Na tulivyo mnafiki huwa tunaenda kupigwa ultra sound ama tukiugua saratani unapigwa chermo/radio therapy ambazo zina madhara directly long term kwa 80% ya watumiaji!! Ila sijawahi ona mkishusha uzi hapa kusema serikali izuie CT Scan kutoka nje ama Ocean Road ifungwe!!!