Salma osman
Senior Member
- Feb 22, 2011
- 164
- 42
- Thread starter
- #21
<br />They say'rafiki wa mwizi ni mwizi'...inawezekana kabisa na ww una tabia hizo za unayemwita best friend i.e ugeugeu na unafiki....sasa rafiki yako ni kama anataka kukurudi na wewe unaogopa kumwambia aache sababu na wewe umefanya mengi kama hayo....si unajua hata chama cha magamba wameshindwa kuonyana na kuambiana ukweli sababu lao ni moja.....sorry kama nimekukwaza
<br />
haujanikwaza umejikwaza mwenyewe,coz u don't knw wht u r saying am think u r confused or out of ur mind