Kigeugeu

haujanikwaza umejikwaza mwenyewe,coz u don't knw wht u r saying am think u r confused or out of ur mind

Ukimchekea nyani shambani utavuna mabua! Unashindwa nini kumface uyo rafiki yako? Mfate na umpe za uhakika, akinuna au akicheka shauri yake! Na huyo mumeo umwambie!

aiseeeeeeeee!..Kipipi

haujanikwaza umejikwaza mwnywe.coz u don't knw wat u r saying,u r confused or out of ur mind

watu wengine bwana, yaani anamtext mumeo msg za mapenzi halafu unaomba ushauri jf? Akija kwako shosti unamchekea as if hakuna baya? Loh kazi kweli kweli.

watu wengine bwana, yaani anamtext mumeo msg za mapenzi halafu unaomba ushauri jf? Akija kwako shosti unamchekea as if hakuna baya? Loh kazi kweli kweli.

i trusted her like my own sister bt she let me down

Nina rafiki kigeugeu,alafu hypocrate. And she's ma best friend.what should i do 2 avoid her?

Usipende kwamwambia or kumshirikisha kila kitu kuhusu wewe, jaribu kua na siri. USIPENDE KUTOA PASSWORD YAKO KWA WATU WA AINA HII.

aiseeeeeeeee!..Kipipi

Vipi Igwe? Mambo mengine sio yakuletea mzaha kabisa, akiendelea kumuonea aibu eti kisa ni best yake basi hana haja ya kumlaumu coz atakuwa amemruhusu yeye mwenyewe! Vaa sura ya kazi ushosti pembeni, dharau zingine hazifai kabisa!!

yani my dea i don't knw wat 2 do.lucky am travel

Kwanini usimpe ukweli wake? Utamstahije mtu ambae hana staha? My dear, hata kama mmeo ana msimamo wa aje, still u have to do something ili kukomesha huo mchezo mchafu anaoufanya rafiki yako. Hio gia ya sms aloanza nayo ni ndogo sana, ukimuendekeza basi tegemea vituko vikali zaidi hapo na utashangaa siku mumeo breki zimekatika!!

kabla hatujawalaumu wenzetu na se pia tujichunguze, ila kweli kuna marafiki huwa ni wa ajabu sana lakini hatuna budi kuwachukulia walivo, koz kujenga marafiki wapya nayo ni shughuli

ni kweli i will do somethg b4 it is 2 late

kabla hatujawalaumu wenzetu na se pia tujichunguze, ila kweli kuna marafiki huwa ni wa ajabu sana lakini hatuna budi kuwachukulia walivo, koz kujenga marafiki wapya nayo ni shughuli

yani hata nashindwa nianzie wapi coz she's close 2 me n i trusted her more than any1 else

Usipende kwamwambia or kumshirikisha kila kitu kuhusu wewe, jaribu kua na siri. USIPENDE KUTOA PASSWORD YAKO KWA WATU WA AINA HII.

thats wat i wil do.thanx 4 ur advice

Salma uyo unampa ukweli zen acpo change unampotezeaa coz anaweza kukupoteza yap

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…