DOKEZO Responded Kigezo cha cheti cha Darasa la 7 ajira ya TAKUKURU kiangaliwe vizuri

DOKEZO Responded Kigezo cha cheti cha Darasa la 7 ajira ya TAKUKURU kiangaliwe vizuri

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo.

Hii inatia ugumu kupata nafasi kwa kigezo hiki kwani miaka mingine wana vyeti, hii itatukosesha nafasi wengine.

Tunaiomba TAKUKURU iangalie upya hili suala kabla ya kupitia maombi.

Pia soma:
~
Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita Form Six mfumo unataka Cheti cha Form 6
~ Sekretarieti ya Ajira: Mfumo wa Ajira Portal ukiwa na Digrii hauwezi kupewa kazi ya Diploma
 
iv izo ndio zile nafasi zilizotoka juz kati watu wakatuma kwa posta pia??
 
Back
Top Bottom