Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo.
Hii inatia ugumu kupata nafasi kwa kigezo hiki kwani miaka mingine wana vyeti, hii itatukosesha nafasi wengine.
Tunaiomba TAKUKURU iangalie upya hili suala kabla ya kupitia maombi.