Kigezo cha elimu walau ya Diploma kiwe sifa ya kuwa Mbunge

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.

Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.

Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.

Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.

Bao la Mkono
Ndege ya rais itanunuliwa Hata kwa watanzania kula majani

Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
 
Ndege ya rais itqnunuliwa Hata kwa watanzania kula majani

Diploma with gpa kubwa, tena awe amepitia taasis zingine kikazi. Diploma iwe minimum, degree, uwaziri masters na kuendelea
 
Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.

Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.

Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.

Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.

Bao la Mkono
Ndege ya rais itqnunuliwa Hata kwa watanzania kula majani

Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
Hilo bunge lina maprof lakini ndiyo wajinga zaidi ya wasiosoma
 
Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.

Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.

Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.

Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.

Bao la Mkono
Ndege ya rais itanunuliwa Hata kwa watanzania kula majani

Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
Mkuu ianzie bachelor, level ya bachelor, level ya kufikiri inakuepo kidogo ,hata kama muhusika alipita kwa kuiba mitiani
 
Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.

Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.

Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.

Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.

Bao la Mkono
Ndege ya rais itanunuliwa Hata kwa watanzania kula majani

Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
Oyee
 
Kama Degree ndio maendeleo tungelikuwa tumeshaendelea zamani mkuu.
 
Back
Top Bottom