Diploma with gpa kubwa, tena awe amepitia taasis zingine kikazi. Diploma iwe minimum, degree, uwaziri masters na kuendeleaKwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.
Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.
Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.
Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.
Bao la Mkono
Ndege ya rais itqnunuliwa Hata kwa watanzania kula majani
Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
Hilo bunge lina maprof lakini ndiyo wajinga zaidi ya wasiosomaKwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.
Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.
Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.
Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.
Bao la Mkono
Ndege ya rais itqnunuliwa Hata kwa watanzania kula majani
Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
Mkuu ianzie bachelor, level ya bachelor, level ya kufikiri inakuepo kidogo ,hata kama muhusika alipita kwa kuiba mitianiKwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.
Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.
Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.
Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.
Bao la Mkono
Ndege ya rais itanunuliwa Hata kwa watanzania kula majani
Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
OyeeKwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.
Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.
Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana hekima sana.
Hizi Kauli kama za yule Dada kuwaita Kenge huwa zinakuwa nightmare zinazorudia viongozi watamkaji.
Bao la Mkono
Ndege ya rais itanunuliwa Hata kwa watanzania kula majani
Hii misemo haikuwahi waacha salama watamkaji.
Hapana. Tunataka watu wasome, minimum degreeDiploma with gpa kubwa, tena awe amepitia taasis zingine kikazi. Diploma iwe minimum, degree, uwaziri masters na kuendelea