Ulemavu siyo kigezo, sikiliza tena mzuiki wake bila kuwa biased; utagundua kuwa ni utunzi mzuri sana, hata kama huwezi kuucheza. Uzuri wa muziki ni kuusikiliza, siyo lazima uuechezeBlack coffee nahisi wamempa coz jamaa n mlemavu mkono wa kushoto haufanyi kazi so atakipiga mziki anatumia mkono mmoja huyu n km dj khaleed nyimbo zke nyingi aimbagi ana featuring tu wasanii ku produce ndo anafanya yeye hata akiimba n kidogo km dj gueta
Kwani David Guetta na Calvin Harris wanapewaje tuzo mkuu?huoni kama hii ni dharau sasa..... maana kama nyimbo haimbi unampaje tuzo mbele ya watu ambao wanamwaga jasho , damu na machozi wakiperfom na kuimba