Kigezo cha kushinda BET ni kipi hasa?

Kigezo cha kushinda BET ni kipi hasa?

People are seriously Comparing Diamond with BLACK COFFEE.
 
Black coffee nahisi wamempa coz jamaa n mlemavu mkono wa kushoto haufanyi kazi so atakipiga mziki anatumia mkono mmoja huyu n km dj khaleed nyimbo zke nyingi aimbagi ana featuring tu wasanii ku produce ndo anafanya yeye hata akiimba n kidogo km dj gueta
Ulemavu siyo kigezo, sikiliza tena mzuiki wake bila kuwa biased; utagundua kuwa ni utunzi mzuri sana, hata kama huwezi kuucheza. Uzuri wa muziki ni kuusikiliza, siyo lazima uuecheze
.
 
Akikosa anatumia kigezo gani akiwashinda kina wizkid davido yemi alade Mr flavour hamuulizi vigezo kweli mapenzi ni upofu
 
WIZKID HAJAWAHI KUOMBA MASHABIKI WAMPIGIE KURA KWENYE AKAUNTI ZAKE ZA MTANDAONI NA WALA KUUDHURIA KWAKUWA ANAJUA TUZO HAZINA MAANA
 
Asiekubali kushindwa si mshindani..... tayari matokeo yameshatoka na tuzo kwenda kwa black coffee... cha msingi ni kufanya kazi kwa bidii maisha yanasonga haikuapngwa apate bas tuangalie mambo mengine
 
Kumbe huyu Black coffee ni shiiida ni bonge la superstar kinyume na tunavyomdhania.... jamaa eti kumbe alishawahi kuingia kwenye kitabu cha GUINESS kwa kipaji alichonacho.
 
Back
Top Bottom