Kigezo Cha Kuwa Platnum Member!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Kigezo cha kuwa Platnum Member ni Kipi?
 
Kazi na shule ndugu yangu vyote kwa pamoja acha kabsa ni moto
Ah kumbe basi pamoja baba swalehe nilishazoea unapotea kwa muda then unarudi ila sasa hii ni too much tangu 2018 mkuu!!! Piga kitabu aisee nyie wenzetu mliowahi kuwa ma-TO katika nchi hii mnapenda sana kusoma kuliko kula
 
Ah kumbe basi pamoja baba swalehe nilishazoea unapotea kwa muda then unarudi ila sasa hii ni too much tangu 2018 mkuu!!! Piga kitabu aisee nyie wenzetu mliowahi kuwa ma-TO katika nchi hii mnapenda sana kusoma kuliko kula
Hehehe πŸ˜‚πŸ˜‚mi sio TO mkuu

Na napenda sana kula mkuu
 
Hehehe πŸ˜‚πŸ˜‚mi sio TO mkuu

Na napenda sana kula mkuu
Kwenda zako huko🀣🀣Hivi mpaka mnakuwa ma TO ina maana nyie hamkuwa na kazi za kufanya au!!??nyie kusoma kusoma tu
 
You must be master of pulinization.. πŸ˜‚

Kasie ulilipiwa shingapi na bwana yako..?

Ngoja nimuulize.....

Eti @Bwanaangu .....!!!!

Ulinilipia shing’api huu uplatinamu memba?

Asipokuja kujibu hapa ntaweka link ya uzi aliochangia kuhusu platinamu memba.

Mie sijui anagharamika kiasi gani, mi nnachojua napata nnachotaka, vingine kama huu uplatinamu ilikuwa zawadi ya kuwa na tabia njema.

Nilipunzika kula bange πŸ˜…πŸ˜…

Kiberenge acha kufukua makaburi ya 2018.... utakutana na misukule...
 
Tulia wewe tunafukua tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…