OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.
Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe.
Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini pekee?
Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe.
Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini pekee?
Fafanua zaidi Mkuu, kiu hasa ya mleta mada ni kujuana,hao ma sheikh wana graduate ? ,Kwa mfano, Elimu ya Dunia tunajua mtu akiitwa Msomi Basi amefikia ngazi Fulani ya Elimu Kama Degree
Je hiyo Elimu ya Dini mnaiitaje ? Ni hatua ipi hasa ya Elimuhasa ambayo ndio mtu anatakiwa kuimaliza Hadi kuwa sheikh ?