Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kwenye ukristo kuna vyuo vya theology.
Nasubiri jibu.
Nasubiri jibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi miaka ya 1980 niliambiwa ili uwe sheikh ni lazima umiliki majini mengi.Mimi huwa nasikia ukiwa na wake wanne unakuwa shehe.mfano shehe kipozeo
Kwa hiyo na wewe ni Sheikhe?Kila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.
Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaisha kikubwa awe anajua.
Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..
Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haupi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.
Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.
Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.
😀😀😀🤣🤣. .am outHawa watu sijui wanawapataje unakuta reasoning ya kawaida tu ni shida.......ila hawana mifumo mizuri kuwapata masheikh, na hata kama wanae bas hawawafanyii recruitment nzuri!
Ukishaweza tu kufafanua alama zilizopo kwenye logo ya taasisi kubwa ulimwenguni we ni sheikh namaanisha mfano akiangalia ile nembo ya arsenal akishaweza kuona ila gun ukifafanua we ni sheikh mkubwa tu.
Ukiweza kushawishi waumini kwamba IMF ukiisoma from end to start ni freemason international, ukiweza kufafanua shangilia ya Cristiano Ronaldo ww cyo mtoto wa mkulima ww ni sheikh mkubwa Afrika mashariki na Kati, ukiweza kuelezea nembo ya MOSSAD, CIA, M16 kaka we ni ulamaaa kbs
🤣🤣🤣🤣Au namna gani paleee!!! kwani nadanganya wajameni?😀😀😀🤣🤣. .am out
kinachopiganiwa na boko haram NIgeria hadi kesho ni kupinga elimu dunia, elimu ya magharibi.Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.
Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu?
Waislam walioishika dini yao huwa ni wastaarabu sana. Si rahisi kumkuta anaunanga ukristo namna hiyo tena kwa mabaya lukuki.Kila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.
Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaisha kikubwa awe anajua.
Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..
Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haupi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.
Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.
Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.
Sasa kama hao Masheikh wanajikita kwenye elimu ya dini pekee, hayo maarifa kuhusu elimu dunia huwa wanayapata wapi?Hapo lazima ubainishe, ukisema Shehe ni Jina tu ambalo anaitwa MTU yeyote wa kawaida. Lakini ukisema Sheikh (الشيخ ) Anakuwa mtu ambaye ametabahari katika elimu ya Dini, kwa maana ana elimu ya Dini kupitia muongozo wa Vitabu ambazo WANAZUONI wamevitunga na kuvikusanya.
....nimewahi kuuliza chanzo cha jina la Shekhe Ubwabwa na kwa nini haikuwa Padre Ubwabwa sikupata jibu.!Wakuu ni katika kujifunza bila ukomo.
Mimi na wenzangu wasiojua, tunaomba kujuzwa vigezo vya mtu kuwa shehe. Nyongeza; kunakuwa na kiwango cha elimu yeyote ya kidunia au ni elimu ya dini tu...
Wakristo mara nyingi wamekuwa wakijifanya wasomi.
Wanaenda mbali zaidi kwa kuwadharau waislamu kwamba ni 'wazee wa mdarasa' hawana elimu.
Cha ajabu usomi wao upo mdomoni tu huku nchi ikizidi kufubaa na wao wasomi wakiangalia tu.
Umejibu swali?Hapo lazima ubainishe, ukisema Shehe ni Jina tu ambalo anaitwa MTU yeyote wa kawaida. Lakini ukisema Sheikh (الشيخ ) Anakuwa mtu ambaye ametabahari katika elimu ya Dini, kwa maana ana elimu ya Dini kupitia muongozo wa Vitabu ambazo WANAZUONI wamevitunga na kuvikusanya.
Halafu ndiyo anakuja kuichambua biblia?Shehe ni mtu yeyote tu muislam! Hana elimu dunia, ila sana sana elimu ya madrasa
Kuna jambo tunatafuta.Tulia.Kwanini hili swali limeulizwa leo?
Ndio tunaomba kujua wanatakiwa wawe na vigezo gani?Hapo lazima ubainishe, ukisema Shehe ni Jina tu ambalo anaitwa MTU yeyote wa kawaida. Lakini ukisema Sheikh (الشيخ ) Anakuwa mtu ambaye ametabahari katika elimu ya Dini, kwa maana ana elimu ya Dini kupitia muongozo wa Vitabu ambazo WANAZUONI wamevitunga na kuvikusanya.
Oh Tate nanee,,wabwanga tushikamane.Sasa kama hao Masheikh wanajikita kwenye elimu ya dini pekee, hayo maarifa kuhusu elimu dunia huwa wanayapata wapi?
Ifikie wakati muwaige Wakatoliki. Kabla ya kufikia hatua ya upadre, lazima usome siyo chini ya miaka 10!
Na katika miaka yote hiyo, utafanyishwa mitihani ya elimu dunia, na ile ya elimu ya dini! Na mitihani yote ni ile yenye mchujo! Yaani ukifeli wastani wao, unafukuzwa. Na lengo ni kuhakikisha huwi Padre Kilaza.
Sasa nyinyi ndugu zetu! Dah!! Mnasikitisha sana kwa kweli. 🙁 Yaani ukiimudu tu elimu ya dini, unakuwa Sheikh!!