Onyesha mfano wa reasoning ya kawaida ambayo masheikh hawana au wanashindwa, na Mimi nikuonyeshe toka kwa viongozi wenu. Mfano hilo suala la Bandari limeonyesha ni kwa namna gani viongozi wenu hawana akili.Hawa watu sijui wanawapataje unakuta reasoning ya kawaida tu ni shida.......ila hawana mifumo mizuri kuwapata masheikh, na hata kama wanae bas hawawafanyii recruitment nzuri!
Kitendo tu Cha kujiona wewe ni bora na kutokuwa muadilifu ni ishara ya uzwa zwa na uzandiki na ujinga ulio pea.
Wakristo kusoma Falsafa mnaona akili ? Huwa mnachekesha sana, watu ambao hamjui kuchamba Wala kula bali hata ustaarabu ni nini ? Utasema nini mbele ya watu wenye akili timamu ?
Kwetu sisi Waislamu hakuna kusoma Usheikh, Usheikh unakuja tu kwa kile ulichokisomea na ukakifanyia kazi, ndio maana hakuna matabaka katika dini yetu, lakini kwenu nyinyi mavazi anayo vaa Padri wewe muumini huvai Wala anayo vaa papa. Sasa mna akili gani mnayojivunia nyinyi ?
Kutetea maslahi yenu kwa mgongo wa Bandari ? Sasa msifikiri waislamu hawana akili timamu kama nyinyi kwa kutumia vipimo dhalili vya degree kujua uwezo wa kufikiri wa mtu.