Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

Sheikh ni nani?

Hili neno linatafsirika kilugha na kiistilahi/kisheria. Kilugha lina maana ni mtu mzima ambaye kuanzia miaka 50+. Huku Tanzania tunamuita au tunatamka Mzee.

Kiistilahi Sheikh lina maana ni mjuzi aliyebobea elimu ya dini ambaye jamii inamtegemea kupata mwongozo kutoka kwake. Na sheikh anakuwa ni mwenye fani zote kwa maana kwenye dini ya kiislamu kuna fani au taaluma 9+...

Hivyo sheikh amebobea kwenye fani zote. Mpaka kuwa sheikh inakuchukua miaka mingi sana ni sawa sawa kama mtu aanze nursery mpaka chuo kikuu.

Hivyo kuna masheikh na masheikh majina kwa maana Tanzania tumeshazoea kuitana hivyo kwa kila kiongozi wa dini ya kiislamu kwani kuna wengine ni maustadhi na si masheik.
 
Mimi nilisoma sharia zote nikienda nchi zinazotumia sharia naweza kuwa kama mtu wa masters ila hii nimesoma kwa ajili ya kutatua mambo ya mazingira na wala sio sifa .

Ina maana ni fully package kweny familia yangu hata mtu akifa fasta najua mirathi na hatua nyingine za kumuhifadhi ila sina cheti...wanaonijua hata baadhi ya wakristo tushatatua migogoro yao despite ya yote msikitini tunaoswali mjini kuna wakurugenzi wakubwa ila tunaaongozwa sala na wafanya usafi na walinzi maana hawa ndo wanawahi kufika sisi tunachelewa ,tunaunga sala.

Na elimu ni pana sana na huwaga wengi wanaanza kusoma madrasa miaka 4 mapema sana.
Hizo nchi baada ya kuhitimu sharia umekuwa mpiga madufu au ni sheikh?
 
Sheikh ni nani?

Hili neno linatafsirika kilugha na kiistilahi/kisheria. Kilugha lina maana ni mtu mzima ambaye kuanzia miaka 50+. Huku Tanzania tunamuita au tunatamka Mzee.

Kiistilahi Sheikh lina maana ni mjuzi aliyebobea elimu ya dini ambaye jamii inamtegemea kupata mwongozo kutoka kwake. Na sheikh anakuwa ni mwenye fani zote kwa maana kwenye dini ya kiislamu kuna fani au taaluma 9+...

Hivyo sheikh amebobea kwenye fani zote. Mpaka kuwa sheikh inakuchukua miaka mingi sana ni sawa sawa kama mtu aanze nursery mpaka chuo kikuu.

Hivyo kuna masheikh na masheikh majina kwa maana Tanzania tumeshazoea kuitana hivyo kwa kila kiongozi wa dini ya kiislamu kwani kuna wengine ni maustadhi na si masheik.
Hata wanawake?
 
Kila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.

Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaidha kikubwa awe anajua.

Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..

Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haumpi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.

Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.

Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.
asante. Nimejua tatizo linakoanzia.
 
Wakristo mara nyingi wamekuwa wakijifanya wasomi.

Wanaenda mbali zaidi kwa kuwadharau waislamu kwamba ni 'wazee wa mdarasa' hawana elimu.

Cha ajabu usomi wao upo mdomoni tu huku nchi ikizidi kufubaa na wao wasomi wakiangalia tu.
1. Rais ni mwenzenu
2. PM ni mwenzenu
3. Rais zenji ni mwenzenu
4.mawaziri wengi ni wenu
5. Marais wastaafu wote ni Dini yenu

Wakristo watafanya Nini zaidi ya kuongea
 
Ee
1. Rais ni mwenzenu
2. PM ni mwenzenu
3. Rais zenji ni mwenzenu
4.mawaziri wengi ni wenu
5. Marais wastaafu wote ni Dini yenu

Wakristo watafanya Nini zaidi ya kuongea
Eeh eeh imekuwaje tena hao wote ni waislamu na tunaambiwa waislamu shule hamna?

Au kuna sehemu nyie wenzetu wasomi mlijisahau mkawaachia wasio wasomi kushika nafasi?
 
Sheikh ni nani?

Hili neno linatafsirika kilugha na kiistilahi/kisheria. Kilugha lina maana ni mtu mzima ambaye kuanzia miaka 50+. Huku Tanzania tunamuita au tunatamka Mzee.

Kiistilahi Sheikh lina maana ni mjuzi aliyebobea elimu ya dini ambaye jamii inamtegemea kupata mwongozo kutoka kwake. Na sheikh anakuwa ni mwenye fani zote kwa maana kwenye dini ya kiislamu kuna fani au taaluma 9+...

Hivyo sheikh amebobea kwenye fani zote. Mpaka kuwa sheikh inakuchukua miaka mingi sana ni sawa sawa kama mtu aanze nursery mpaka chuo kikuu.

Hivyo kuna masheikh na masheikh majina kwa maana Tanzania tumeshazoea kuitana hivyo kwa kila kiongozi wa dini ya kiislamu kwani kuna wengine ni maustadhi na si masheik.
Angalau wewe umejibu nusu ya swali, Sasa mwambie mleta mada, hizo hatua za kusomea mpaka kuwa sheikh,maana umetaja tu ulinganifu wa nursery to chuo kikuu, yeye anataka umtajie hatua ya 1 mpaka mwisho

NB
Mimi hapa ni Kama kibatala tu mahakamani
 
Ee

Eeh eeh imekuwaje tena hao wote ni waislamu na tunaambiwa waislamu shule hamna?

Au kuna sehemu nyie wenzetu wasomi mlijisahau mkawaachia wasio wasomi kushika nafasi?
Mimi hapa kwenye huu uzi sitaki kutoa maoni yangu binafsi Niko hapa kuhoji tu Mkuu, ukitoa maoni yako nakuhoji utetee hoja yako basi, Dini yangu Mimi ni kimbanguist ,Mimi sio dini hiyo unayodhani
 
Kuna jamaa hapa Magomeni baba yake alitoa eneo la kujenga msikiti. Kwahiyo yeye anapata mgao wa mapato ya msikiti. Hapa anaitwa Shekhe
 
Back
Top Bottom