OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Fafanua zaidi Mkuu, kiu hasa ya mleta mada ni kujuana,hao ma sheikh wana graduate ? ,Kwa mfano, Elimu ya Dunia tunajua mtu akiitwa Msomi Basi amefikia ngazi Fulani ya Elimu Kama Degree
Je hiyo Elimu ya Dini mnaiitaje ? Ni hatua ipi hasa ya Elimuhasa ambayo ndio mtu anatakiwa kuimaliza Hadi kuwa sheikh ?
Mkuu umechekea kipi?😁😁😁😁😁😂😂😂😯😯😴
Fafanua zaidi Mkuu, kiu hasa ya mleta mada ni kujua,hao ma sheikh wana graduate ? ,Kwa mfano, Elimu ya Dunia tunajua mtu akiitwa Msomi Basi amefikia ngazi Fulani ya Elimu Kama DegreeHapo lazima ubainishe, ukisema Shehe ni Jina tu ambalo anaitwa MTU yoyote wa kawaida. Lakini ukisema Sheikh (الشيخ ) Anakuwa mtu ambaye ametabahari katika elimu ya Dini, kwa maana ana elimu ya Dini kupitia muongozo wa Vitabu ambazo WANAZUONI wamevitunga na kuvikusanya.
Mimi nilisoma sharia zote nikienda nchi zinazotumia sharia naweza kuwa kama mtu wa masters ila hii nimesoma kwa ajili ya kutatua mambo ya mazingira na wala sio sifa .Fafanua zaidi Mkuu, kiu hasa ya mleta mada ni kujuana,hao ma sheikh wana graduate ? ,Kwa mfano, Elimu ya Dunia tunajua mtu akiitwa Msomi Basi amefikia ngazi Fulani ya Elimu Kama Degree
Je hiyo Elimu ya Dini mnaiitaje ? Ni hatua ipi hasa ya Elimuhasa ambayo ndio mtu anatakiwa kuimaliza Hadi kuwa sheikh ?
Maneno kibao,Kama ndio hivyo Kwa nini Kila mtu anaswali Eid yake?huyu Leo huyu keshoKila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.
Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaisha kikubwa awe anajua.
Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..
Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haupi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.
Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.
Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.
Ndo uzuri wa elimu unafuat maandiko😅😅yaani hupelekwi kama mzogo ,kila mtu anasoma na dalili anazo hakuna wa kumshikia mtu akili...Kumbuka Mwinyi alipigwa kibao .Maneno kibao,Kama ndio hivyo Kwa nini Kila mtu anaswali Eid yake?huyu Leo huyu kesho
Dalili ya changamoto ya akiliMimi huwa nasikia ukiwa na wake wanne unakuwa shehe.mfano shehe kipozeo
Le Monde, matata Kata...Hawa watu sijui wanawapataje unakuta reasoning ya kawaida tu ni shida.......ila hawana mifumo mizuri kuwapata masheikh, na hata kama wanae bas hawawafanyii recruitment nzuri!
Ukishaweza tu kufafanua alama zilizopo kwenye logo ya taasisi kubwa ulimwenguni we ni sheikh namaanisha mfano akiangalia ile nembo ya arsenal akishaweza kuona ila gun ukifafanua we ni sheikh mkubwa tu.
Ukiweza kushawishi waumini kwamba IMF ukiisoma from end to start ni freemason international, ukiweza kufafanua shangilia ya Cristiano Ronaldo ww cyo mtoto wa mkulima ww ni sheikh mkubwa Afrika mashariki na Kati, ukiweza kuelezea nembo ya MOSSAD, CIA, M16 kaka we ni ulamaaa kbs