Kigezo gani kimetumika kumteua mlezi wa Serengeti boys?

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
#KIGEZO GANI KIMETUMIKA KUMCHAGUA MLEZI WA SERENGETI BOYS?

Kwa ninavyo jua Mimi kazi huwa rahisi na yenye matokeo chanya zaidi endapo kama
Anaeifanya ni mzoefu wa kazi hiyo au ni mwenye kuipenda na ujuzi

Utakapo mchukua Dactari aka fungue Gia box huwezi kupata matokeo chanya hata kama ana degree 10 za udactari

Wazungu wanasema "professional matters"
Ujuzi na uzoefu wa msimamizi wa jambo Fulani ni mhimu zaidi kama unahitaji kupata kilicho bora

Tumezoea kuona watu wakipewa majukumu hovyo kinyume na uzoefu na ujuzi wao au taaluma walizo nazo

Na matokeo tunayo pata hayazoeleki, tunahitaji kubadirika tujifunze kwa makosa tubadilike,

Timu ya Serengeti boys kuna vipaji vya wasakata soka sio kuandika au kutangaza taarifa .

Kumpa BW Leginard Mengi kuwa mlezi wa watoto hawa sio uteuzi bora.

Wengi wata tazamia kwamba kwakuwa anapesa nyingi basi anaweza kumudu changamoto zote wanazopata Serengeti boys.

Pesa ina nafasi ndogo sana kwenye upatikanaji wa soka bora hasa kwenye timu za taifa
=>Marekani,Russia na China wamgekuwa nasumbua dunia kwemye soka kama "soka ni pesa"
Kuna mambo yani hitaji moyo,uzalendo,upendo zaidi kuliko kitu chochote.

BW Leginard Mengi ni mwema sana na mwenye kujitolea sana lakini si mwanamichezo kabisa yani hajihusishi na pengine anajua machache sana kuhusu michezo.

Sio mtu anae jihusisha kwa namna yoyote kwenye michezo na soka kwa ujumla wake

Mengi ana vituo vya television wote tunavijua (IPP media )
Vituo hivi havinaga mda na michezo hasa soka kuna vipindi vinajiita vya michezo lakini ni wanamichezo wachache sana wanavutiwa na vipindi hivi kutokana uendeshwaji wake..

Haya ni matokeo ya misingi na sheria za mmiliki wa kampuni ambae ni yeye na si wafanyakazi .

Kwa kupitia mwenendo huu tunapata majibu mazuri tuu kuwa si mtu sahihi kupewa majukumu ya kimichezo tena kwa timu ya Taifa ya vijana na tutegemee ije kututoa kimaso maso Siku za usoni kwasababu yeye sio mwanamichezo.

Sawa ana pesa lakini hana uzoefu na sio mpenda soka kwahiyo kazi kwake itamuwia vigumu sana,
Mwisho wa Siku tunaweza kumkuta straika wetu anasoma habari ITV.

Anatakiwa mtu mwenye mapenzi,uzoefu na mwenye ushawishi hata kwa wawekezaji kwenye soka

"Nachoona TFF wame angazia kutatua tatizo moja kwa kulikuza lingine."
matchday_tz-20180904-0004-01.jpeg
 
"Nachoona TFF wame angazia kutatua tatizo moja kwa kulikuza lingine."View attachment 858126

Kimetumika Kigezo chake cha I WILL, I CAN and I MUST.
 
Umeelezea vizuri man lakin jukumu lake litakuwa si kusaka vipaji bali ni kulea vijana.

Ww unadhan hata bila pesa hivo vipaji vitadumu? Tukubaliane kuwa kila kitu kwa sasa hakiend bila pesa.. ulezi wowote ule bila.kuwa na uwezo mambo hayatakwenda.
 
Kwa maana hyo serilkali yetu ndio inataka kumaanisha imeshindwa majukumu ya kifedha kwa hao watoto?
 
Mbona mlitaka kumpa uenyekiti wa yanga kama sio mwanamichezo
 
Yanga hata were unaweza kuwa mwemyekiti kwa hali. Walionayo sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Write your reply...
kwa sababu ana mapene /pesa. mingi
 
#KIGEZO GANI KIMETUMIKA KUMCHAGUA MLEZI WA SERENGETI BOYS?

Kwa ninavyo jua Mimi kazi huwa rahisi na yenye matokeo chanya zaidi endapo kama
Anaeifanya ni mzoefu wa kazi hiyo au ni mwenye kuipenda na ujuzi

Utakapo mchukua Dactari aka fungue Gia box huwezi kupata matokeo chanya hata kama ana degree 10 za udactari

Wazungu wanasema "professional matters"
Ujuzi na uzoefu wa msimamizi wa jambo Fulani ni mhimu zaidi kama unahitaji kupata kilicho bora

Tumezoea kuona watu wakipewa majukumu hovyo kinyume na uzoefu na ujuzi wao au taaluma walizo nazo

Na matokeo tunayo pata hayazoeleki, tunahitaji kubadirika tujifunze kwa makosa tubadilike,

Timu ya Serengeti boys kuna vipaji vya wasakata soka sio kuandika au kutangaza taarifa .

Kumpa BW Leginard Mengi kuwa mlezi wa watoto hawa sio uteuzi bora.

Wengi wata tazamia kwamba kwakuwa anapesa nyingi basi anaweza kumudu changamoto zote wanazopata Serengeti boys.

Pesa ina nafasi ndogo sana kwenye upatikanaji wa soka bora hasa kwenye timu za taifa
=>Marekani,Russia na China wamgekuwa nasumbua dunia kwemye soka kama "soka ni pesa"
Kuna mambo yani hitaji moyo,uzalendo,upendo zaidi kuliko kitu chochote.

BW Leginard Mengi ni mwema sana na mwenye kujitolea sana lakini si mwanamichezo kabisa yani hajihusishi na pengine anajua machache sana kuhusu michezo.

Sio mtu anae jihusisha kwa namna yoyote kwenye michezo na soka kwa ujumla wake

Mengi ana vituo vya television wote tunavijua (IPP media )
Vituo hivi havinaga mda na michezo hasa soka kuna vipindi vinajiita vya michezo lakini ni wanamichezo wachache sana wanavutiwa na vipindi hivi kutokana uendeshwaji wake..

Haya ni matokeo ya misingi na sheria za mmiliki wa kampuni ambae ni yeye na si wafanyakazi .

Kwa kupitia mwenendo huu tunapata majibu mazuri tuu kuwa si mtu sahihi kupewa majukumu ya kimichezo tena kwa timu ya Taifa ya vijana na tutegemee ije kututoa kimaso maso Siku za usoni kwasababu yeye sio mwanamichezo.

Sawa ana pesa lakini hana uzoefu na sio mpenda soka kwahiyo kazi kwake itamuwia vigumu sana,
Mwisho wa Siku tunaweza kumkuta straika wetu anasoma habari ITV.

Anatakiwa mtu mwenye mapenzi,uzoefu na mwenye ushawishi hata kwa wawekezaji kwenye soka

"Nachoona TFF wame angazia kutatua tatizo moja kwa kulikuza lingine."View attachment 858126

Yani wabongo hawana jema duh, mbona wakati timu haina mlezi haukuuliza?
 
Umekurupuka, Dr. Mengi anakuwa mlezi na wala hausiki na masuala yoyote ya techical. Yeye si kocha wala si Meneja wa team, ni mlezi tu kama ambavyo nyumbani kwenu una mlezi wako ambaye huenda hata hajui kutumia smartphone kama wewe lkn bado anabaki kuwa mzazi bora kwako. Malezi si Taaluma.
 
Usifanye masihala na kitu malezi Mkuu, Malezi sio pesa pekee... Familia bora nyingi zimetoa product tofauti na wazazi/walezi walivyotarajiwa....

Jaribu kufanya kautafiti kidogo kwa mateja baadhi utakuta wametoka familia bora.

Naweza unga mkona hoja kuwa Mzee Mengi kigezo cha Pesa, I will, I can na I Must vimetumika....100%

Familia ya Soka Tz bado inawalezi bora wengi wanaojua malezi ya Soka..... Soka mbali na kipaji kuna vitu vya ziada, na ina wataalamu wake.....

Kiukweli Mengi mpeni ufadhili kama issue ni Pesa Tff isizungushe maneno
 
Naunga mkono hoja
 
una hoja ya msingi sana ! haya mambo ya kificho kificho ndio yanayotuzuia sisi matajiri wengine kusaidia soka la Tanzania , iko wapi ile kamati ya saidia Stars ishinde ?
 
Watu wengine wanaona sawa ila imini nakwambia unawez ukakuta watu wanaandaa kunenepesha matumbo yao kupitia huu mchezo walio uita udhamini wa timu ya Serengeti boys

Mlezi lazima ajue vuzuri njia za kuwapitsha anao walea kufika nchi ahadi

Huyu mzee alitakiwa awe mdhamini kama kigezo ni pesa awe anatoa pale anapoweza kutoa timu inapohitaji msaada wa kifedha lakini kusema mlezi sio sawa

Mlezi anataliwa awe mtu ambae hata amewahi kuwa mchezaji na anazijua changamoto za timu ya tiafa.

Na ifahike pesa hazichezi mpira kama pesa ndio mpira malekani na China wana makombe ya dunia ngapi????
 
Mlezi Sharti uwe na:
1.Heshima kwenye Jamii
2. Busara
3. Pesa

Hilo la tatu muhimu sana.
 
Back
Top Bottom