Kigezo kilichotumika PCB na udaktari MD

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
kwa taarifa yenu leo nilikua makao makuu TCU wakatuambia kigezo walicho tumia kuchukua wanafunzi wa MD ni lazima uwe na cutting point min ya 10.5 kwa masomo yote matatu (principle sub.)

Nawaonea huruma ndugu zangu mliojaza io kozi ndio maana wengi wametemwa .

Nina rafiki angu alisoma PCB akajaza MD kwenye option zote matokeo yake katemwa kapelekwa chuo cha zanzibar kusomea mambo ya uchumi.

Nimeamin TCU ni fagio lachuma.
 
Sasa ni nini maana ya kutuwekea guide book . Hauoni kuwa hapo wamefanya makosa maana ilibidi wabadili hizo cut-off point kwenye guide book
 
Tunaomba elimu kidogo wengine haya ni mageni. 10.5 kwa mfano wa PCB zinapatikanaje tafadhali
 
jamani hii kitu ni kweli hat UDSM wametumia kigezo hiki cha point 10, ndo maana hakuna div 3 au 2 aliyechaguliwa udsm kama yupo aje hapa tupate evidence, ila udom three na two ndo wamemwagwa pale white university
 
sijaelewa point ziko wapi

New Grading System(2014 Onward) Old Grading System (1988-2013) Weight (Using Old System) A A 5 B+ B 4 B C 3 C D 2 D E 1 E S 0.5 F F 0
 
New Grading System(2014 Onward) Old Grading System (1988-2013) Weight (Using Old System) A A 5 B+ B 4 B C 3 C D 2 D E 1 E S 0.5 F F 0

Kama ni hvyo mkuuu inamaana wenye one za tatu au maana physics inakuwa subsidary so kwa point kumi means walio pata A tu kwa biology na chemia na c vinginevyoooo sasa mm mbona mshikaji kapangwa mhimbili MD ana A B+ na B huoni kama ana tisa hapo kwa masomo mawili maana physics ni subsidiary hapo unatwambia nn tuna mashaka na tarifa akoo
WATCH OUT
 
nimesema masomo ya kombi nkimaansha three principle subjects.... so uyo mr. ana point 12 so kapita vizur sana

NB.. umakini unatakiwa usomapo post co kukoment tu sawa??
 
nimesema masomo ya kombi nkimaansha three principle subjects.... so uyo mr. ana point 12 so kapita vizur sana

NB.. umakini unatakiwa usomapo post co kukoment tu sawa??

guide book haisemi hivo
 
jamani hii kitu ni kweli hat UDSM wametumia kigezo hiki cha point 10, ndo maana hakuna div 3 au 2 aliyechaguliwa udsm kama yupo aje hapa tupate evidence, ila udom three na two ndo wamemwagwa pale white university

acha uorongo bhana mdogo kuna demu tumesoma naye na 3 yake yupo udsm?
Tcu hawaangalii hilo na wapo wenye 4 na wamechaguliwa vyuo
 
acha uorongo bhana mdogo kuna demu tumesoma naye na 3 yake yupo udsm?
Tcu hawaangalii hilo na wapo wenye 4 na wamechaguliwa vyuo

Mwenye 4 anaenda soma chuo cha wap kwa ngaz ya degree??nadhan jamaa anajaribu kurefer kwa mwaka huu na siyo huyo demu mliosoma naye bali wanaoingia mwaka huu
 
na mm namaanisha mwaka huu na sivinginevyo.!

Mkuu wanaangalia na nafasi za vyuo.Kama Muhimbili bado kuna complications sana.Ila kuna vyuo kama St.Francis,IMTU,KCMC,KIU,nk wanakubeba mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…