Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
kwa taarifa yenu leo nilikua makao makuu TCU wakatuambia kigezo walicho tumia kuchukua wanafunzi wa MD ni lazima uwe na cutting point min ya 10.5 kwa masomo yote matatu (principle sub.)
Nawaonea huruma ndugu zangu mliojaza io kozi ndio maana wengi wametemwa .
Nina rafiki angu alisoma PCB akajaza MD kwenye option zote matokeo yake katemwa kapelekwa chuo cha zanzibar kusomea mambo ya uchumi.
Nimeamin TCU ni fagio lachuma.