Kigodoro chamfanya Wema asihudhurie BET awards

Maweeee kigodoro wapi, huyo ali overstay USA last time alipoenda kule sasa wale wana sheria zao kuingia kule wema sio leo wala kesho...Na alivyokuwa na mashauzi na kupenda tension na hivi dada zake wanakaa kule unazani asingeenda kumsapoti diamond, awezi kusema ukweli wema USA no entry for the time Being....
 
Martin kadinda anapendaga wanaume wazuri na wenye mvuto na pesa zao, sasa wewe kama una sura kama avatar ya matumbo martin utaishia kumsikia instagram

Ha ha binamu kwa hyo binamu Kadinda ni bisexual ndo mana huwa ana mambo ya kike kike
 
Last edited by a moderator:
Martin kadinda anapendaga wanaume wazuri na wenye mvuto na pesa zao, sasa wewe kama una sura kama avatar ya matumbo martin utaishia kumsikia instagram

Hahhhhhaaa halaf huyo sio matumbo kwelii au wanafananaaa kabisaaa maana sura mbaya kama mugabe
 
Last edited by a moderator:

princess sayuni, Dinazarde, Heaven on Earth, qn of sheba, geniveros njoon musikie uku kumbe mama ubaya ali overstay kwa obama akapewa BAN ya kufa mtu uwiiii nyie mama ubaya huyu mbona hakutuambia?, ndo nini kutudanganya
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani kabisa WEMA aache kukwea pipa akalambe vumbi LA mwananyamala
Kisa ushoga hapana
 
Ha ha binamu kwa hyo binamu Kadinda ni bisexual ndo mana huwa ana mambo ya kike kike

Na mademu anawagonganga sana hadi madam kashampitia sema martin hana hulka ya kuonekana mtu wa mademu ndo maana ata aonekane na demu gan wat hawawezi kuis ni dem wake
 
princess sayuni, Dinazarde, Heaven on Earth, qn of sheba, geniveros njoon musikie uku kumbe mama ubaya ali overstay kwa obama akapewa BAN ya kufa mtu uwiiii nyie mama ubaya huyu mbona hakutuambia?, ndo nini kutudanganya

Binamuuuuu....Wema ana BAN usa due to overstaying, hvi alivyokuwa na kiherehere yule angemuacha shoga yake rommy jones aende na diamond bila yy kuwepo? Ha hivyo anavyopenda u celebrity unadhania angeacha kwenda kuwaona kina karrueche, nelly n.k wema Akisafiri ataishia ma europe tu USA no entry...
 
Last edited by a moderator:

bora useme wewe mwenzetu unaejua maaana sie wa manzese full kutudanganya na hv ht paspot sina....!
 
Last edited by a moderator:

Maskini mama ubaya, alinunaje. unajua nilisikiaga kitambo kuwa kuna soo kafanya USA hivyo aruhusiwi kwenda, mi nakajua alizinguana na dada yake maana kipindi kile nilikuwa sijaanza umbea nikapotezea

Na huyo ndomo simuelewagi na huyo romy jones wake hata kama ni undugu na u DJ umezidi sasa kila sehemu zote
 
nimekuja na nimeupata ubuyu nlitaka kushangaaa!kumbeeee

Na yeye alitia aibu ndo nini kukatalia nchi za watu? Wema nilikuwa namuona mjanja kumbe mshamba tu , na wamemkomesha
 
kubandika sufulia ya ugalii jikoni ndio fugo

mhhhhhh haya mi nilijua kubandika ni kubandika tu au kuinjika kumbe ukibandika sufuria inakuwa fugo nahene nkoyi na ukibandika ya kupikia wali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…