Kigodoro chamfanya Wema asihudhurie BET awards

mhhhhhh haya mi nilijua kubandika ni kubandika tu au kuinjika kumbe ukibandika sufuria inakuwa fugo nahene nkoyi na ukibandika ya kupikia wali

Hiyo sijui mi mwenyewe nilikuta hivyoooo
 
Last edited by a moderator:
bora useme wewe mwenzetu unaejua maaana sie wa manzese full kutudanganya na hv ht paspot sina....!

Hahaaaa geni umenchekeshaje...nimekumbuka ile comment wanao mponda Domo hata passport hawana lol
 
Hahaaaa geni umenchekeshaje...nimekumbuka ile comment wanao mponda Domo hata passport hawana lol

Mumpishe geniveros wangu ye mambo ya kujisifia ujinga hana, kashajisemea hata passport hana kwani inahuu? , ila binamu mtambo na wewe eti hata passport sina uwiii hutak shida na mtu wakuachee, bora na wewe huna maana wengine wana passport toka 2010 had 214 passport nyeupee so wakuache
 
Last edited by a moderator:

Hahaha yani kanichekeshaje eti wa manzense hata passport hana... nikikumbuka ile comment ya insta mbavu sina.
 
Last edited by a moderator:

asa kumbe nfanyeje i know nothing about kwenda nje mtaa mzima aliyeenda sana bondeni tena kastoroway,na ndo anawapata kweli kuwadanganya huko instagram huyo wema wenzangu na mie,mi namponda tuuu kwani ye kule ameenda kushangaa mji...!ye kapelekwa kwa sababu maalum kule!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha yani kanichekeshaje eti wa manzense hata passport hana... nikikumbuka ile comment ya insta mbavu sina.

Thread ya ndomo na akina nelly ishazimwa na boko haramu, yani wana bahat maana nilijaandaa na kwa timbwil leo
 
Huna hata makuu binamu yangu, unaishi zako manzese we wakwambie umbea apo mtaelewana mambo ya kujisifia sijui off to dubai umeshayaachaga uko insta
 
Safari njema binamu huko kitabuuso,sisi tupo hapa kuchekecha pumba na chuya.
 
Last edited by a moderator:

kule si ndo kwetu sio wa uswazi......!!!jf wala hawaijui mama angu mzazi yani wao wanamjua joti na fesbuk ya bure nasiku hz wasap kdogo mana wakiona ubize kidogo unacheka na comments za jf wanakuuliza hapo fesbuku eeeeh!
 
Last edited by a moderator:
Safari njema binamu huko kitabuuso,sisi tupo hapa kuchekecha pumba na chuya.

Kweli binamu mnachekecha mchele na pumba, wacha nichukue pumba zanfu nipeleke facebook nikitoka uko kitu cha instagram
 
kazi yake ni kubeba mapochi ya wema,na nilliwahi kusikia pia jamaa ni chakula ya watu.. @Gossipcopwarumi kuna ukweli

Daaaa nimecheka sanaaa kweli JF hamna kinchoshindikana kwa hiyo jamaa chakula ya watu wanajisevia ila anaoneekana tu alivyo hahaha
 
Dah ninecheka hadi basi
 
Halafu ana dharau sana, wewe kama mshkaj wake na huna hela, mbona atakunyar na kukudharau mpaka uchanganyikiwe, ila akiwaona akina haidery kavira atakavyowashobokea sasa had pumb anapigwa nao, nyie pesa izi
 
Last edited by a moderator:
Halafu ana dharau sana, wewe kama mshkaj wake na huna hela, mbona atakunyar na kukudharau mpaka uchanganyikiwe, ila akiwaona akina haidery kavira atakavyowashobokea sasa had pumb anapigwa nao, nyie pesa izi

Hatari sana mkuu hela kitu kibaya sana asikuambie mtu, na namuona tu jamaaa mambo yake sasa kama angekuwa na hela sijui ingekuwaje, na yule mwenzie Tiny Dady na yeye? Maana hawa vijana wana behave kama kids
 
Tiny dad kubwa jinga, mwili mkubwa akil ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…