Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
mhhhhhh haya mi nilijua kubandika ni kubandika tu au kuinjika kumbe ukibandika sufuria inakuwa fugo nahene nkoyi na ukibandika ya kupikia wali
Hiyo sijui mi mwenyewe nilikuta hivyoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhhhhhh haya mi nilijua kubandika ni kubandika tu au kuinjika kumbe ukibandika sufuria inakuwa fugo nahene nkoyi na ukibandika ya kupikia wali
princess sayuni, Dinazarde, Heaven on Earth, qn of sheba, geniveros njoon musikie uku kumbe mama ubaya ali overstay kwa obama akapewa BAN ya kufa mtu uwiiii nyie mama ubaya huyu mbona hakutuambia?, ndo nini kutudanganya
bora useme wewe mwenzetu unaejua maaana sie wa manzese full kutudanganya na hv ht paspot sina....!
Hahaaaa geni umenchekeshaje...nimekumbuka ile comment wanao mponda Domo hata passport hawana lol
Mumpishe geniveros wangu ye mambo ya kujisifia ujinga hana, kashajisemea hata passport hana kwani inahuu? , ila binamu mtambo na wewe eti hata passport sina uwiii hutak shida na mtu wakuachee, bora na wewe huna maana wengine wana passport toka 2010 had 214 passport nyeupee so wakuache

Thread ya ndomo na akina nelly ishazimwa na boko haramu, yani wana bahat maana nilijaandaa na kwa timbwil leo
asa kumbe nfanyeje i know nothing about kwenda nje mtaa mzima aliyeenda sana bondeni tena kastoroway,na ndo anawapata kweli kuwadanganya huko instagram huyo wema wenzangu na mie,mi namponda tuuu kwani ye kule ameenda kushangaa mji...!ye kapelekwa kwa sababu maalum kule!
Thread ya ndomo na akina nelly ishazimwa na boko haramu, yani wana bahat maana nilijaandaa na kwa timbwil leo
Naona ma mods wameona ile habari ni danganya toto, ngoja niwapelekee facebook maana umu hamdanganyiki, nikitoka zangu facebook naenda instagram najua kule nikipeleka hii habari lazima ninunuliwe vocha ya buku ten, uku nimeingia chaka nimeambulia vichambo tu

Kweli binamu mnachekecha mchele na pumba, wacha nichukue pumba zanfu nipeleke facebook nikitoka uko kitu cha instagram
![]()
kazi yake ni kubeba mapochi ya wema,na nilliwahi kusikia pia jamaa ni chakula ya watu.. @Gossipcopwarumi kuna ukweli
Wa kumpa hizo pesa za kutunza watu ovyo nani? Ndomo? Labda sio yeye , sasa ivi kwenye masherehe unaambiwa kajala ndo bosslasy nasikia alimtunza mtoto wa imelda lak 8 , mama ubaya ataichora chini na ndomo wake , bora arudi tu kwenye umalaya wake kama zamani
Hhahaha daa JF sio mchezo kiboko aiseee, me nillikuwa sijajua huyu jamaa kazi yake hasa nini kwa wema kumbe akilewaga anapenda sanaa kuchezea na kula ndizi za wanaume wenzake hatari sana kwa kweli weed upo lakini na majibu umeyaona huko ya Gossipcopwarumi
Halafu ana dharau sana, wewe kama mshkaj wake na huna hela, mbona atakunyar na kukudharau mpaka uchanganyikiwe, ila akiwaona akina haidery kavira atakavyowashobokea sasa had pumb anapigwa nao, nyie pesa izi
Hatari sana mkuu hela kitu kibaya sana asikuambie mtu, na namuona tu jamaaa mambo yake sasa kama angekuwa na hela sijui ingekuwaje, na yule mwenzie Tiny Dady na yeye? Maana hawa vijana wana behave kama kids