Kigodoro chamfanya Wema asihudhurie BET awards

Kigodoro chamfanya Wema asihudhurie BET awards

Watu wengi wakiwemo mashabiki
wa Wema na Diamond walitarajia
kumuona pamoja Wema Sepetu
akimpa kampani mpenzi wake
Diamond Platnumz ambaye
alikuwa anawania tuzo ya BET
Awards 2014 huko Los Angels,
Marekani. Wema alitarajiwa
kuonekana kwenye red carpet ya
BET kama ilivyokuwa kwenye
MTV Africa Music awards
ambapo walikuwa wote S.Afrika
na kina Aunty Ezekiel na team ya
Diamond
Hata hivyo chanzo kimoja kilicho karibu na
Wema na Aunty kimeelezea
kuwa moja ya sababu iliyomfanya Wema
ashindwe kwenda BET Awards licha ya kueleza
kuwa angehudhuria kupitia Instagram siku
kadhaa nyuma ni kufanyika kwa sherehe ya
rafiki yao mmoja maeneo ya Mwananyamala
nyumbani kwa Aunty Ezekiel juzi, ambapo
asingeweza kuwaacha mashosti zake hao peke
yao pasipo sapoti yake katika shughuli hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo kilichoomba kutowekwa
wazi jina lake walicheza sana ikiwemo muziki
wenye mahadhi ya kigodoro ambayo ni ngoma/
muziki uliyojipatia umaarufu siku za hivi
karibuni kiasi cha "kuwawehusha" baadhi ya
kinadada wa mjini.
"Wema hajaenda BET Awards alikuwa kwenye
kigodoro Mwananyamala na kina Aunty, kuna
rafiki yao anaitwa Imelda alipata mtoto ndo
wakamfanyia sherehe. watu walikula, kunywa na
kusaza, walichezajee ! kajala na wema
walimaliza mgomgoro wao hapo, ntakutumia na
picha pia ila usinitaje" kilisema chanzo hicho
ingawa kilishindwa kutuma picha hizo kwa
wakati mpaka tunaandika habari hii.
Katika tuzo za BET Awards Diamond hakuwa na
team kubwa kama ilivyokuwa tuzo za MTV
nchini S.Afrika
Wema na kina Kajala katika shughuli hiyo.

Wifi yake wema tumekuelewa
 
Aache usaniii si aseme tu nauli ilipelea au alikosa visa hahaaa usupa staa bana
 
Best nimepata umbeya, nasikia ule usiku wa kigodoro wema na kajala walifumwa vichochoroni wakishikana shikana na kulana madenda, watu wakauliza nyie vipi mmelewa au, wenyewe wakasema wawaache walale kwani walimisiana sana so wana enjoy, wambea wanasema eti ugomvi wao ulichangia pia na hayo mambo ya kukoboana

Kumbeeee hayo mbona tushayasikia toka zamani mi nahis hata aunt nae walikua wanakoboanaaa
 
Safi sana Wema kwa kunena hivyo maana mashabiki wako wote akili zao zipo kwenye Masabula .Wanapenda kudanganywa sana mashabiki wa wasanii na wanamuziki wa kitanzania.
 
bora umiliki mbwa kuliko mtoto km petit mnisamehe sana hv anajua maana ya uanamme yule?

Peti anatomb@nag@ na martin kadinda kama hamjui, na kashagongwa sana na yule camera man wa wema aliyefukuzwa kazi kwa kugeuza magar ya madam guest ,jamaa anaitwa chidy classic kashamgonga sana peti, huyo peti anapenda sana ofa
 
aiseee!hadi kichefuchefu yani mtoto wa kiume siku hz ukiwa nae mtihani kkkkaaah!
 
aiseee!hadi kichefuchefu yani mtoto wa kiume siku hz ukiwa nae mtihani kkkkaaah!

Halafu kanapendaga kujifanya ka kishua wakat kutwa anadandia magar ya watu, mfyuu
 
Peti anatomb@nag@ na martin kadinda kama hamjui, na kashagongwa sana na yule camera man wa wema aliyefukuzwa kazi kwa kugeuza magar ya madam guest ,jamaa anaitwa chidy classic kashamgonga sana peti, huyo peti anapenda sana ofa

Kwa hiyo huyu jamaa anagongwa na yeye anamgonga martin kadinda?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Huyu dogo angekuwa kasoma angesumbua sana ....
 
Kwa hiyo huyu jamaa anagongwa na yeye anamgonga martin kadinda?

Sent from my iPad using JamiiForums

Martin kadinda anapendaga wanaume wazuri na wenye mvuto na pesa zao, sasa wewe kama una sura kama avatar ya matumbo martin utaishia kumsikia instagram
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom