- Thread starter
- #21
Mkuu hili la kulamba asali ni la kwako. Mimi nimesema kwamba ni kweli Zanzibar ina serikali yake na bunge lake. Hili la katiba mpya, mimi kwa maoni yangu nasema Zanzibar sasa wanahitaji katiba mpya kuliko wakati mwingine wowote
Mkuu kulamba asali ni kuyafaidi mema ya nchi kwa mujibu wa sheria.
Kwa mfano, wakati wenzetu kwa mujibu wa sheria mnauziwa petrol hata chini ya 2,500/- kwa Lita wakati kwetu Iko zaidi ya 3,500/-, kama hapo hamlambi asali basi walamba asali hawapo.
Kwa mujibu wa uzi huu:
Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa
Miye ningekuwa nyie, kwa hivi tu nitake katiba nyingine ya nini?