A
Anonymous
Guest
Sisi Wananchi wa Kata ya Kigogo Fresh B, Mtaa wa Golani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam tunachangamoto ya umeme.
Mpaka leo nyumba takribani mia mbili hazijafungiwa nishati ya umeme na kuna mradi wa REA kutoka Kisarawe kila tukifuatilia tunaambiwa tusubiri mradi lakini hakuna utekelezaji naomba TANESCO KISARAWE mlifanyie kazi.
Hili suala tumelifuatilia tangu mwaka 24 ila mwaka 2025 ndo likatengewa bajeti na bajeti yenyewe inaisha mwezi wa saba ila mpaka sasa hakuna majibu kamili ni lini wanaleta huo mradi.