kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nakubalina na maoni ya Kigogo Kwa sababu haiwezekani Kiongozi ashindwe kuweka mikakati ya kushughulikiwa Changamoto za msingi za Wana Arusha badala yake Kila siku anatunga maihizo ya movies yasiyo na msingi huku akiwakejeli wengine 😂 😂 👇 👇
View: https://x.com/kigogo2014/status/1889577775440306630?t=ONWZYrzHmkXv9Kh9Xm3oDw&s=19
My Take
Gambo amepiga ndege 2 Kwa Jiwe Moja 👇👇
View: https://x.com/millardayo/status/1889366238654070945?t=pq3FB7fAvPofIh2ygN7h7Q&s=19
Mbunge ameteuliwa na wananchi sasa kama yeye ametaka kujengewa stend na mteuliwa toka ikulu ambaye asubuhi tu anaweza tumbuliwa na bosi wake....aendelee tu kubweka na kuleta mipasho ya kisiasa wananchi wake wanaweza mtumbua kwa uzembe!