Kigogo: "Gambo Amenifurahisha Sana Kwa Kumuumbua Kiongozi wa Mkoa Mfanya Matamasha ya kula nyama wakati Jiji halina Stendi."

Mbunge ameteuliwa na wananchi sasa kama yeye ametaka kujengewa stend na mteuliwa toka ikulu ambaye asubuhi tu anaweza tumbuliwa na bosi wake....aendelee tu kubweka na kuleta mipasho ya kisiasa wananchi wake wanaweza mtumbua kwa uzembe!
 
Gambo alikuwa kiongozi Arusha kutoka Ukuu wa Wilaya,hadi akawa Mkuu wa Mkoa,na leo ni mwaka wa tano ni mbunge,ajiulize,hiyo stand alishindwaje kujenga ?
Ndio yeye alipigania Hadi ikafikia.levwl hizi πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Asiishie hapo bali awashangae na wale wanaonunua Magoli na Chama chao kuleta Mabasi ya kwenda kwenye Matamasha na Pikipiki kila kona wakati kuna miji haina hata Stendi....; Kwa ufupi angesema tu the whole is Rotten na sio the Part... (including yeye)
 
Ndio pekee amekuwa akipigana kuisaka stendi Toka akiwa DC Hadi Sasa Mbunge.

Nani mwingine anapambania Arusha?
Wewe jamaa nimeamini ww ni mpumbavu tena mla nyama ya mbavu Makonda hajamaliza hata mwaka unakuja kuleta thread ya kumlaumu km sio upumbavu ulitaka Makonda atoe pesa mfukoni mwake ajenge stand ? kama pesa haijatolewa serikali kuu stand itamea km uyoga ? wakati mwingine uchawa unawaondolea ufikiri wa kichwani na kuhamishia makalioni...
 
Reactions: UCD
Matusi ni dalili ya mtu aliyeshindwa hoja πŸ˜‚πŸ˜‚

Jibu swali RC amefanya jitihadi zipi kuhakikisha stendi inajengwa?

Hakuna excuses ya mda Ukiwa Kiongozi maana unaenda kuanzia pale alipoishia mwingine so Wacha ujinga.
 
Kwani nani amemlaumu RC?
 
Matusi ni dalili ya mtu aliyeshindwa hoja πŸ˜‚πŸ˜‚

Jibu swali RC amefanya jitihadi zipi kuhakikisha stendi inajengwa?

Hakuna excuses ya mda Ukiwa Kiongozi maana unaenda kuanzia pale alipoishia mwingine so Wacha ujinga.
Kamuulize yeye na Gambo wako.
 
πŸ‘ChoiceVariable Kuna siku unaamkaga vizuri unaleta point za maana Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…