Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

hivi mke wake si mswiss?
 
Sweden lazima apate bwana wa kizungu aolewe apate na uraia kabisa.
huyo ameoa mzungu ndio mke wake wanalala kitanda kimoja, sio kama wewe sifuri wa uhambingeto huko umejua kupiga mswaki juzi kwanza unaamini wazungu tu ndio wanapiga mswaki.
 
hana athari wala madhara yoyote ya kisiasa, kijamii na hata kiuchumi nchini.

hata hivyo,
inafaa aje ajibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na uhujumu uchumi 🐒
 
Kwa hiyo wakati anajiandaa kuandika barua alishajiandaa na pa kukimbilia!
Lazima atakuwa ameshajipanga anajua pa kutimkia. Polepole ni mjamaa na ameishi kwenye nchi ya Cuba ambayo ni nchi ya ujamaa yenye mizizi mikubwa. Ukiangalia kwa jicho la tatu Kuna faida kubwa sana kwake kutoka ubalozini Malawi na kupelekwa Cuba.
 
hapo ndipo walipokosea mahesabu. wao walijua wanamtupa kisiwani huko.
 
Polepole ndio mwendo, watamfikia tu.
 
hana athari wala madhara yoyote ya kisiasa, kijamii na hata kiuchumi nchini.

hata hivyo,
inafaa aje ajibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na uhujumu uchumi 🐒
Nyie vilaza mnaoinajisi katiba na kuitumia mahakama vibaya kwa masilahi yenu binafsi ya hovyo, mwisho wenu wa kubambikia wananchi wasio na hatia kesi unakaribia. Yote mnayofanya yameanza kuwageuka.
 
Nitakutafuta Mkuu unipe huo mchongo
 
Sasa Polepole kajihudhuru bila hata kukabidhi office. 🤣🤣🤣
 
hapo ndipo walipokosea mahesabu. wao walijua wanamtupa kisiwani huko.
Kwa ambao wanamfahamu Polepole tokea akiwa Azania, kwenye bunge la maoni ya mchakato wa katiba mpya.
Jamaa ana unyerere mwingi ndani yake na ameuishi. Marehemu Magufuli licha ya mapungufu yake pia alikuwa na unyerere ndio maana walitengeneza perfect combination.
Kule Cuba kwa Mzee Fidel Castro jamaa atakuwa ameiva sana kwenye ujamaa.
 
acha akauzee supermarket akichoka atarudi kuomba msamaa. Huyu hana la kulaumu serikali kwa sababu alikua kwenye serekali iliyo tesa sana watu, alikua kijana wa magufuli huyu, anatakiwa kufatwa huko sweden afungiliwe kesi, atatoa siri zote za walio kuwa wanaokotwa kwenye viroba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…